Amenichosha: Nisaidieni software za kuhackle simu yake

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Jaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N

WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA KUHACKLE SIMU YAKE NIZISOME MESSEJI ZAKE KWA MBALI TUMALIZANE NA HUYU
 
mmmh Utata kwenye jinsia yako!!!
SWALI: Je una uhakika unamtimizia kila kitu :becky::becky:???????????
 
Shida yote ya nini hiyo? Wewe mpotezee kimtindo tu....yaaani tartiiibu hado hado.....usihangaike na kutaka ku-hack simu yake.

Hapana kaka lazima tu huyu nimfanyie hack nisaidie pliz kama unayo hiyo software
 
Sidhani kama ku-hackle simu ya mpenzi wako itakuwa right, itakuwa ni kubaka privacy yake, muhimu ni kumweka kitako na kumweleza kinaga ubaga kuwa hupendezewi na hiyo tabia kuweka wazi juu ya fikira zako kuhusu yeye kuwa na mtu mwingine na zaidi ni msimamo wako asipobadilika.
 
Jaman haya ni ya kweli wacha tu ni hack mara moja inatosha
 
Kama si mumeo au mke na unaona dalili za kuwa anacheat, piga chini. Do you need more evidence kwani mko mahakamani? maana najua kwenye ndoa ndio kuna wengi watauliza sababu za kutengana. Lakini boy/girlfriend software ya kazi gani kujiingiza garama? Achana nae abaki na simu yake whether anacheat or not he/ she has no right ya kuwa msiri si dalili nzuri.
 
Ina maana hata choni anakwenda nayo,au ameweka password.
 
Kama si mumeo au mke na unaona dalili za kuwa anacheat, piga chini. Do you need more evidence kwani mko mahakamani? maana najua kwenye ndoa ndio kuna wengi watauliza sababu za kutengana. Lakini boy/girlfriend software ya kazi gani kujiingiza garama? Achana nae abaki na simu yake whether anacheat or not he/ she has no right ya kuwa msiri si dalili nzuri.
ningempa dozi ya hack mara moja tu roho yangu ingetulia sana!
 
Jamani msaidieni huyu bibie kwani ndio shida yake...atakayokutana nayo huko ni juu yake.
 
wasiliana na Member mmoja humu anayo hiyo Software, atakupa maelezo zaidi anaitwa SPEAKER
 
Jaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N

WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA KUHACKLE SIMU YAKE NIZISOME MESSEJI ZAKE KWA MBALI TUMALIZANE NA HUYU

sasa simu yake uiguse ili iweje?
wewe umempenda yeye, au umeipenda simu?
 
Your spouse or loved one needs to communicate with their lover. Point blank! It's new, it's exciting! They will find ways to make time to see their lover as often as possible. But when they are not able to see them, they will use other methods to communicate and reach them.

The most effective and personable way besides seeing them in person, is to call them on the cell phone, and they will.Chances are, your love one will use the cell phone to make calls to their lover when they are away and out of your presence. You may already feel that they are doing this but they will usually delete their cell phone activity before they get home.
You can do this by using cell phone monitoring software. Yup, they're available and I will review various ones later on.

SpyBubble - Cell Phone Spy Software
 
Unampa kila kitu na unaji express au kila kitu kama nini? kama umetoa pole we, mie sioni umuhimu wa kwenda mbali kote huko, upoteze muda wako bure, angekuwa mumeo unataka talaka hapo sawa lakini bwana tu mpaka utafute ma software looooo mbona una thamani zaidi ya hayo?
 
Una bahati mbaya post ya kua mchunguzi binafsi ilitolewa.Mtafute SHAROBALO akupe maujanja jinsi ya kuvuka hiyo password yake!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom