Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Hakika nasema kila siku wanaume ishini na sisi kwa akili...mbonahamuelewi jmni...

Ningekuwa mwanaume wallah mwanamke wangu angepata tabu mno kunitabiri..nisingeeleweka kama kimbunga..

Wanaume siku mkifanya kikao chenu mniite nije kuwapa mbinu matata sana juu ya viumbe sisi😅😅😅
Ungekuwa mwanaume pengine ungeshakuja kulalamika hapa kuwa unanyimwa unyumba na mkeo. Its so hard being a man!
 
Sipendi kukushauri lakini nakueleza hivi:fukuzilia mbali pakashume huyo.Usipomfukuza "utamjua vizuri"!😂😂😂😂
 
Wakuu wasalaam!

Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!

Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.

Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.

Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.

Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.

Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"

Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!

Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.

Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.

Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Aisee...pole
....anelekea kukukorogea sumu ya panya huyo..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Teh teh teeeh!! Hivi mkipika nanyi si mnakula? Sasa huko kutusaidia vipi[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Sasa kama kitabu kitakatifu kimetuzungumzia mwanamke,mwanaume ni nani mpka aweze kukielewa kiumbe hiki adimu 😅😅ishini na sisi kwa akili hakuna namna
Akili nyepesi ni kukutia vibao endapo utazingua...hadi ujue mipaka yako! Hio biashara ya kukimbia nyumba yangu haipo. Ukileta kisirani makonzi tu.
 
Huwa nawaambia wanaume kila siku mwanamke haamki tu siku moja akaanza kukuonyesha dharau, hapana.!
Kuna vitabia anakuonyesha tu na hii hukuja automatic, anasubiria reaction yako anashangaa matokeo ni zero, hujamfanya chochote, next time anarudia tena akitarajia labda kuna maamuzi magumu utafanya lakini wapi,
Ndiyo kwanza, unaanza kujinunisha, wooii anaona kumbe huyu faller ni wangu.!!
Sasa ndiyo hapo mwanzo wa mwanamke kukupanda kichwani tena siyo kupanda tu bali ataruka ruka hata viatu havui..! 😂

Mwanaume, hakikisha mwanamke wako hakuelewi, kuna muda anafanya upuuzi nawe unampuuzia wakati hakutegemea hilo, anabaki anajiuliza imekuwaje.. Na kuna wakati hakikisha unamuwashia moto mpaka akikuona anaskia kutetemeka, lazima akuheshimu maana anakuwa hajui nini kitatokea next.!
Mwanaume huwa yuko straight, mwanamke ndie ana kona kona katika maisha yake. Anahitaji mwanaume ili amnyooshe.

Bahati mbaya kuna aina mbili ya kwenda nae sawa, uende na curls zake kisha u break ambako unaona sio sahihi au uwe nae straighforward akizingua unamtia mbata.
 
Kwahiyo anakufokea kwanini hujakuna Nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe kaka kwa kupenda kupiga khaa
Sipendi kupiga ila ukinitafuta nakudunda vizuri tu. Sipendagi utoto kabisa. Tutaimba tutacheza na kufurahi ila when it comes to bullshit nitakuliza mapema sana.

Shida wanawake wanapenda kutibua akili za wanaume and they expect you to respond humbly. Ati huko ndio kuishi nao kwa akili? Y'all wanna make men looks stupid for fun! Ain't in for such shit!

Kaa kwa pattern!!! Mi ni mstaarabu sana ukiwa mstaarabu ila ukijitia kichaa mie ni mwendawazimu kabisa.
 
Akili nyepesi ni kukutia vibao endapo utazingua...hadi ujue mipaka yako! Hio biashara ya kukimbia nyumba yangu haipo. Ukileta kisirani makonzi tu.
Na hili ndilo la kimsingi na kimkakati.akizingua unamnyoosha tu hakuna namna
 
Kumpiga siwezi mkuu siku hizi roho za watu zinafata ngumi ukipiga tu umeua bora kuachana nae
Itoshe kusema we ni fara, ningeona hii comment mapema hata nisingeendelea hata kusoma huu uzi!
 
Sema kweli mkuu nashangaaa sana, halafu kumsaidia sio kumuogopa nafanya kwa kuwa ni moyo wa upendo tu, na yeye anakuwa kwenye majukumu yake naona isiwe tabu nafanya.
Huyo ni mwanamke wa kiafrika asilia.

Acha kumletea maisha ya tamthilia atakukaa kichwani mwisho atakuja apigwe pumbu na mwanaume kamili katika kitanda hichohicho mnacholalia.
 
Back
Top Bottom