Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

We utaanzaje kuchota maji, kupika kwani ni mgonjwa.Ni hivi kuanzia leo ukiondoka ukiulizwa unarudi saa ngapi,sema saa moja afu ibuka home saa sita usiku,nguo zikianikwa nje hata mvua ikinyesha usianue jifanye ulisahau,ukila acha vyombo kwenye sinki hata ikipita siku mbili havijaoshwa usiviguse,akipiga simu kukuuliza unarudi saa ngapi mwambie narudi baada ya nusu saa afu unarudi masaa manne baadaye.Cha mwisho mtie mimba.
Duh! Hizi roho mbaya umejifunzia wapi?
 
Wakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!

Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.

Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.

Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.

Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.

Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"

Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!

Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.

Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.

Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Ukifuga nyoka andaa na rungu la kumpiga nalo kichwani..utakua umenielewa
 
Mchungaji mitimingi(RIP) Aliwah sema hivii nanukuu,
"Ikiwa mchumba wako kipindi cha uchumba anakuonesha vitu furani ,na unavimezea na vinakukera PIGA CHINI"
Kweli kabisa, it saves time and a lot of headaches huko mbeleni!

Mwanamke ambaye hana breki za mdomo ni chanzo kikubwa cha stress katika ndoa! Mi huwa nawachukulia wana tabia za kibabe flani. Yani huyo mkeo hana tofauti na mapolisi wengi wa kike. Wana tabia ngumu sana!!!

Without a doubt apige chini mbwa huyo!
 
Mleta mada, umesema kurudi kwa kuchelewa Ni kama kumuogopa, halafu ukasema Tena unapanga uondoke ukaishi kwingine.

Mleta mada, una akili timamu??? Serious UNA AKILI TIMAMU WEWE????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ofcoz kuhama means amemuachaa na kumshindwa tabia zake.. Ila kuamua kuchelewa kurudi meana kamuogopaa maana ataendelea kuwa boyaa..
 
Ndugu yangu kimbia fasta.. Ukishampa mimba hilo kaa la moto ni lako milele.. Usije sema hatukukuambia!
Tafuta chumba mbali na hapo, nunua tu godoro ulale chini usepe fastaa
Utakuja kufyekwa mb** usingizini ujutie milele. That woman is an animal.
 
Wakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!

Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.

Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.

Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.

Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.

Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"

Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!

Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.

Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.

Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Mkuu, dalili ya mvua ni mawingu!
Hapo hujamtolea mahali anakuwa na dharau, kibri na utovu wa nidhamu kiasi hcho, je ukimtolea itakuwaje???
You have to cut the head of that snake before it swallows you! Mwambie umeshndwa kuvumilia tabia zake so akuache mwenyewe.
 
Huwa nawaambia wanaume kila siku mwanamke haamki tu siku moja akaanza kukuonyesha dharau, hapana.!
Kuna vitabia anakuonyesha tu na hii hukuja automatic, anasubiria reaction yako anashangaa matokeo ni zero, hujamfanya chochote, next time anarudia tena akitarajia labda kuna maamuzi magumu utafanya lakini wapi,
Ndiyo kwanza, unaanza kujinunisha, wooii anaona kumbe huyu faller ni wangu.!!
Sasa ndiyo hapo mwanzo wa mwanamke kukupanda kichwani tena siyo kupanda tu bali ataruka ruka hata viatu havui..! 😂

Mwanaume, hakikisha mwanamke wako hakuelewi, kuna muda anafanya upuuzi nawe unampuuzia wakati hakutegemea hilo, anabaki anajiuliza imekuwaje.. Na kuna wakati hakikisha unamuwashia moto mpaka akikuona anaskia kutetemeka, lazima akuheshimu maana anakuwa hajui nini kitatokea next.!
 
Wakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!

Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.

Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.

Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.

Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.

Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"

Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!

Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.

Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.

Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Mkuu anatokea kule maeneo ya akina mwakyembe? Nijibu kwanza
 
Tatizo ni wewe umeamua kukubaliana na hayo mambo yake... Muhimu umuonyeshe msimamo wako na kuwa hupendezwi na hiyo tabia yake.. ishi kiume acha kulia lia... Huyo ndio wa kuoa maana amekuonyesha mapema jinsi alivyo.. muoe wala usimuache..
 
Tatizo baadhi ya vijana wa sasa mmekuwa wajinga mno.. mnadeka na kulialia mitandaoni... Nadhani shida kubwa inaanzia kwenye malezi..
 
Back
Top Bottom