Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,678
Unazidi kunichanganya, kwa hiyo anataka akamlipie sehemu ajenge nyumba?Sehem,
😀😀

Huu ni ushauri unaopewa na wajumbe huku..99% maamuzi unaya fanya wewe...za kuambiwa changanya Fanya maamuzi sahihi ukiusikiliza moyo wako.hakuna kitu kizuri kama mlikuwa na kuzungumza kwa kina.Neno zuri ,nimewaza sana kuhusu hili nisepe nikaishi kwingine huko, nazidi kupata moto.
Sasa ww ndo nmekuelewaHuwa nawaambia wanaume kila siku mwanamke haamki tu siku moja akaanza kukuonyesha dharau, hapana.!
Kuna vitabia anakuonyesha tu na hii hukuja automatic, anasubiria reaction yako anashangaa matokeo ni zero, hujamfanya chochote, next time anarudia tena akitarajia labda kuna maamuzi magumu utafanya lakini wapi,
Ndiyo kwanza, unaanza kujinunisha, wooii anaona kumbe huyu faller ni wangu.!!
Sasa ndiyo hapo mwanzo wa mwanamke kukupanda kichwani tena siyo kupanda tu bali ataruka ruka hata viatu havui..! [emoji23]
Mwanaume, hakikisha mwanamke wako hakuelewi, kuna muda anafanya upuuzi nawe unampuuzia wakati hakutegemea hilo, anabaki anajiuliza imekuwaje.. Na kuna wakati hakikisha unamuwashia moto mpaka akikuona anaskia kutetemeka, lazima akuheshimu maana anakuwa hajui nini kitatokea next.!
Kusaidiana majukumu ya ndani kwenu ni jambo la kawaida na mbadala wake ni kuweka msaidizi yaani "House girl".Wakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!
Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.
Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.
Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.
Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.
Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"
Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!
Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.
Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.
Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Wa kutokuoa??Hawa wanawake jamani,ngoja tu mi niendelee na msimamo wangu
Inaitwa mahari na siyo mahali.Wakuu wasalaam!

[emoji3][emoji3]piga chiniiiKweli kabisa, it saves time and a lot of headaches huko mbeleni!
Mwanamke ambaye hana breki za mdomo ni chanzo kikubwa cha stress katika ndoa! Mi huwa nawachukulia wana tabia za kibabe flani. Yani huyo mkeo hana tofauti na mapolisi wengi wa kike. Wana tabia ngumu sana!!!
Without a doubt apige chini mbwa huyo!
Huwa nawaambia wanaume kila siku mwanamke haamki tu siku moja akaanza kukuonyesha dharau, hapana.!
Kuna vitabia anakuonyesha tu na hii hukuja automatic, anasubiria reaction yako anashangaa matokeo ni zero, hujamfanya chochote, next time anarudia tena akitarajia labda kuna maamuzi magumu utafanya lakini wapi,
Ndiyo kwanza, unaanza kujinunisha, wooii anaona kumbe huyu faller ni wangu.!!
Sasa ndiyo hapo mwanzo wa mwanamke kukupanda kichwani tena siyo kupanda tu bali ataruka ruka hata viatu havui..! [emoji23]
Mwanaume, hakikisha mwanamke wako hakuelewi, kuna muda anafanya upuuzi nawe unampuuzia wakati hakutegemea hilo, anabaki anajiuliza imekuwaje.. Na kuna wakati hakikisha unamuwashia moto mpaka akikuona anaskia kutetemeka, lazima akuheshimu maana anakuwa hajui nini kitatokea next.!
Mkuu hiyo ni sheria ya wapiHivi unajua ukiish na mwanamke nyumba moja kama mke na mume kwa miez mi3 serekali inamtambua huyo mwanamke tayari ni mke wako? Hebu tuachen upumbav wa kuish na wanawake ambao hatujawaoa.
Maisha baada ya ndoa huwa yanakua ni changamoto kias flan, sasa Kama ww umeshaanza kuona changamoto nyingi kabla ya ndoa usijipe moyo et atabadilika ukimuowa hiyo sahau na ujiandae kuteseka.
Kabla hatujaowa ni vyema tuchunguze asil ya mwanamke na tabia zake kiujumla kwa kuwauliza wat wanao ifaham vizur hiyo familia, ndo maana zamani watu walichaguliwa wake na wazaz wao kutoka katika familia wanayo itambua nje ndani na tabia ya mke pia, kwakua ndoa ni jambo zito
Hakika nasema kila siku wanaume ishini na sisi kwa akili...mbonahamuelewi jmni...Huwa nawaambia wanaume kila siku mwanamke haamki tu siku moja akaanza kukuonyesha dharau, hapana.!
Kuna vitabia anakuonyesha tu na hii hukuja automatic, anasubiria reaction yako anashangaa matokeo ni zero, hujamfanya chochote, next time anarudia tena akitarajia labda kuna maamuzi magumu utafanya lakini wapi,
Ndiyo kwanza, unaanza kujinunisha, wooii anaona kumbe huyu faller ni wangu.!!
Sasa ndiyo hapo mwanzo wa mwanamke kukupanda kichwani tena siyo kupanda tu bali ataruka ruka hata viatu havui..! 😂
Mwanaume, hakikisha mwanamke wako hakuelewi, kuna muda anafanya upuuzi nawe unampuuzia wakati hakutegemea hilo, anabaki anajiuliza imekuwaje.. Na kuna wakati hakikisha unamuwashia moto mpaka akikuona anaskia kutetemeka, lazima akuheshimu maana anakuwa hajui nini kitatokea next.!
Hivi Wenzetu mliooa, wake zenu huwa mna chat nao mkiwa kwenye mihangaiko ?Unacho nena ni kweli
Ila husaidia kumrudisha kwenye line
Mkuu kuoa hujaoa drama mia tisa kidogo
Hebu angalia videos za sadhguru kule utube utapata majibuWakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!
Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.
Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.
Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.
Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.
Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"
Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!
Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.
Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.
Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Mie huwa napewa taarifa tuu pale nimeacha hali ya wanangu haipo timamuHivi Wenzetu mliooa, wake zenu huwa mna chat nao mkiwa kwenye mihangaiko ?