Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Wakuu wasalaam!

Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!

Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.

Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.

Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.

Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.

Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"

Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!

Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.

Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.

Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Nilishawahi kusema humu ndani,shida mara nyingi ukishamuweka ndani ndio vita huwa vinaanza,na huwa wanakuwa hawaelewi kitu,ni moto unawaka mpaka utakapoamua kunyoosha mikono.Huwa ni jambo zuri sana kumshirikisha Mungu unapokuwa unatafuta mwenza wa kuoa ili upate mwenza sahihi,lakini wengi wetu huwa tunaangalia material things...
 
Kuna wadau naona wanakushauri kukimbia, ukikimbia hapa, utakapoenda pia utakimbia.

Tatizo liko kwako.
  • Jitahidi kwa mahusiano yoyote utakayokuwa nayo, usiwe na ratiba ya kuwa wa kwanza kufika nyumbani. Hata kama kazi zako zimeisha mapema, tafuta mchongo wa kukuchelewesha kufika home.
  • Jitahidi sana kama utatakiwa kufanya kazi yoyote kama kufua, kuosha vyombo, kusafisha nyumba au chochote ambacho principally ni cha mke, kisijirudie rudie. Ukifanya mara kadhaa mfululizo tayari hilo ni jukumu lako.
  • Jitahidi kadri unavyoweza uwe na mwanamke ambaye ana akili, ambaye anaweza ku-reason. Kama hana reasoning nzuri, hata kauli zake hachagui, na ulimi ni kitu kikubwa sana kwenye mahusiano.
  • Kuna watu wanakulia familia za kimaskini, halafu umaskini unaingia kichwani, ukimkuta mwanamke wa namna hii ni ngumu kuitafsiri Beijing hasa akishakuwa na kazi inayomwingizia kipato, neno haki sawa ataitafsiri 50 kwa 50 kwa kila kitu. Chunga sana.
All in all (kwa sauti ya Baba Levo), hakuna binadamu asiye na mapungufu, kuishi pamoja ni pamoja na sacrifices, uweze kuyaishi mapungufu ye mwenzio, naye ayaishi yako.
 
Wakuu wasalaam!

Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!

Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.

Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.

Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.

Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.

Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"

Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!

Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.

Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.

Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Huyu ni ke wa Kwanza kwako na wa mwisho? Kwamba ukimuacha hupati mwingine? Usije ukatulilia humu na kutuambia turejee Uzi ...
 
Usirogwe kumsaidia mwanamke kazi kama kufua au kupika. Jinsi unavomsaidia ndio ikili yake inarekodi kuwa hizo ni kazi zako pia. Siku usipomsaidia utaisoma namba, na ndio kinakutokea.

Kama utamuoa, jiandae kuishi kwa majuto maisha yako yote yaliyobaki duniani. Hakuna rangi utaacha iona.
 
Hatakiwi kumtoroka ila anatakiwa amuoneshe kuwa yeye ni mwanaume (kichwa cha nyumba). Hapo anatakiwa asifanye kazi hata moja ambayo inamhusu mwanamke.
Hata kama amemweka ndani, unatumia akili kumtoroka, huyo ameanza kisirani mapema sana atakuja kumsumbua
 
Miezi minne tu mshaanza kuishi kibabe, busara itumike hapa na kama hujampa ujauzito kumuacha isiwe tabu
 
Ukimzoesha mwanamke kitu anachukulia kama ni jukumu lako, mfano ukirudi na steel wire zikiisha atakwambia steel wire zimeisha. Ukilete nyanya kesho atakukumbusha nyanya zimeisha hata kama unampa hela za matumizi yote nyumbani.

Ukioa jaribu kuonyesha ukauzu ili ajue majukumu yako na yake
 
Wakuu wasalaam!

Bila shaka hamjambo, kwa wenye changamoto poleni!

Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.

Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahari kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.

Kila nikiwaza kupeleka mahari na haya maneno ninayopewa na wife moyo unasita.

Imekuwa ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.

Mfano; Leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"

Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, ninachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!

Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahari naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.

Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya muhimu zaidi, kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhali.

Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
shortly piga chini dogo!! usijidanganya eti utambadilisha...Nyota njema huonekana toka asbh.
 
Sema kweli mkuu nashangaaa sana, halafu kumsaidia sio kumuogopa nafanya kwa kuwa ni moyo wa upendo tu, na yeye anakuwa kwenye majukumu yake naona isiwe tabu nafanya.
kanywe bia na washikaji acha kurudi nyumbani mapema kiboyo....pata michongo mipya na wana...jiwekeze na tafuta fulsa mpyaaa!!

Acha upendo wa kiboyaboya kwa mtu asiyekuheshimu....mwanaume unapenda kisha anapata heshima....kwa ke...!!

Alafu acha kuingilia majukumu yake kwa kisingizio tulivyolelewa let her do her work..Taratibu ikizoeleka huwa sheria.

Hizo ndoa bila ubabe kdg haziendi sio unalilia kiboyaboya....ndio kwanza uchomba utapigika kipigo cha mbwa koko we lete uboya tu.
 
Huyo hakufai kuwa mke achana nae, Kama kashindwa kuwa na tabia Njema basi ukishaoa jua atafanya mazito zaidi ya haya
 
Ukweli hujamjua vizuri..
Sasa kazi kwako kubeba matatizo ya kwao kuja kuhamishia kwako au kuyakataa..

Unahitaji ushauri gani Kwa mwanamke wa hivi?
Kisa anapewa mzigo deile ndio maana anashindwa kufanya maamuzi

Huyo wa kupiga chini fasta sana
 
Huyo ni mwanamke wa kiafrika asilia.

Acha kumletea maisha ya tamthilia atakukaa kichwani mwisho atakuja apigwe pumbu na mwanaume kamili katika kitanda hichohicho mnacholalia.


Haina uhusiano wowote na Uafrika, wapo Wanawake wa Kizungu, kichina, Kiarabu au sijui Kilatino na wanalala na Wanaume wengine kwenye vitanda vya waume zao, ni Ubinadamu kuna Binadamu hawana mipaka na kila mahali wapo, ...
 
Rafiki unasumbuliwa na ujinga wako

No retreat no surrender
Mwanamke yuko chini yako hakikisha hakusomi mpaka akakumaliza

Kwanza kataa kumsaidia kazi wakati hujamuoa Nani alikuwa anakuchotea maji, kukufulia, kukupikia kwa hiyo ukimwambia nakusaidia atakuona wewe ni house boy au house girl mwambie hizi ni shughuli zangu naweza kuzifanya kwa ufasaha mkuu lakini baada ya kubanwa na majukumu nikakuleta wewe ili unisaidie, ukitaka mtu wa kukusaidi wewe tafuta mwingine na siyo mm,mie siyo msaidizi wako.

Pambana na usaidizi wako Kama hutaki ondoka nitatafuta mwingine aje nisaidia

Akitaka kukupanda mchalaze viboko , lakini usimpige . Itakuwa heshima na kukuogopa . Mwanamke anapaswa akuogope na kukuheshimu

Ndo maana biblia ikasema tuishi nao kwa akili . Maana yake ufahamu huyu anahitaji tiba gani kwa sasa

Uvae tabia zote , tabia ya uchungaji, ualimu, kijeshi, mfalme, house boy, house girl, baba, mama, anko, shangazi, mkulima, mfugaji na nk uzijulie uvae uhusika gani wakati gani

Mfano mke amekasirika anatukana hovyo waweza mbembeleza akatulia, waweza kumkoromea akatulia, waweza kuchapa viboko akakueshimu

Hahahahah

Sayansi hii naiaply sana maisha mazuri tu
 
Back
Top Bottom