Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Write yaour reply...Muambie haina shda ntakujua tu si bdo tuko pmja, huwez jua labda we unajua line hyo hyo moja ya airtel kumbe kuna mwenzio anatumia na tgo kumpigia ndo mana anakujambisha kuwa bdo hujamjua vzuri
 
Ndg yangu,hata x-wife alikuwa na kauli za namna hiyo mwisho wa siku nikaja gundua kuwa ni mtoka usiku.
 
Duuh hivi kwa nini Mwanamke ukimsadia majukumu yake ya ndani anaona kama ni wajibu wako kufanya???? Alafu huwa wanajisahau sanaa aisee mimi nishajifunzaaa bora uchelewe kurudi nyumbani kuliko kujidai unamsaidia yanakukuta haya
unaakili.sana
 
Huyo mwanamke umempenda sana ,nae kalitambua hilo na najua hata utamu hukupangia kukupa na asipotaka huku nyima .Brother nicheki dm nikupe madini ya kuishi na huyo one week ananyooka
 
Huyo mwanamke umempenda sana ,nae kalitambua hilo na najua hata utamu hukupangia kukupa na asipotaka huku nyima .Brother nicheki dm nikupe madini ya kuishi na huyo one week ananyooka
Sawa mkuu
 
Tatizo la wake wengi,ukimsaidia anataka akuwekee zamu,Ila nikupe angalizo mchunguze vizuri huku nilipo unaweza kumuona mtoto mchana kumbe usiku ni mkuu wa wachawi kanda maalum yaani anazingirwa na wazee anawapangia majukumu sasa mara nyingi hata mchana huwa wanajisahau wanajiona bado wana Yale Yale madaraka ya usiku mkuu.
 
Back
Top Bottom