EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,568
- 21,390
yajayo hayafurahishi kijana kama huwezi kusoma alama za nyakati,utapata sana tabu
Juzi nimepokea malalamikoMie huwa napewa taarifa tuu pale nimeacha hali ya wanangu haipo timamu
Ndipo huwa napewa taarifa
The rest yye ana majukum yake na mie yangu kuchart ni mda mchache
Bila kupepesa macho piga chini huyo, atakusumbua mbeleni. Hawezi badilika maana ndivyo alivyo. So either ukubaliane na alivyo au kula kona mapemaWakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!
Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.
Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.
Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.
Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.
Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"
Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!
Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.
Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.
Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Huyo shemeji yetu hana majukum mkuuJuzi nimepokea malalamiko
Shemeji yangu analalamika , bro anatumia muda mchache sana ku chat na yeye.
Ana miaka 26Huyo shemeji yetu hana majukum mkuu
Pia ukifanya tafiti ni mid 20's
Kimbia mbio hakuna mke hapo, tena usigeuke nyuma utakuja kunikumbuka, ikiwezekana kimbia taratiiiibu Bila hata kusemaWakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!
Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.
Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.
Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.
Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.
Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"
Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!
Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.
Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.
Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Ndio wakat wao katika umri huoAna miaka 26
Ongea nae akikusikia yupo tayari kuwa nawe kama hajakusikiliza ujuwe hatokusikiliza hata akiwa kwenye ndoa na wewe. Sitaki kukutia shaka ila jeuri nyingi huja kwa mwanamke pale anapokuwa na mchepuko pembeni. Chunguza juu ya hilo.Nimkunjeje huyu mkuu ebu nipe tactics tafadhari
Uchumba ni kivuli cha ndoaWakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo,kwa wenye changamoto poleni!
Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.
Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahali kwao kwa sababu hatua za mwanzo nilishafanya.
Kila nikiwaza kupeleka mahali na haya maneno nayopewa na wife moyo unasita.
Nimekuwa na ni kawaida yangu kusaidia majukumu ya home kama kuchota maji, kupika hasa akiwa zake kazini maana mimi nawahi kurudi toka job, mimi ni mfanyakazi wa shirika (jina linahifadhiwa) na kazi ndogo ndogo mara moja moja nafanya, ndivyo tulivyolelewa home lakini siku akikuta sijafanya anafoka kana kwamba ni sehemu ya majukumu yangu ya lazima, nampenda na namhudumia kama baba wa nyumba.
Mfano; leo tumezinguana kwa issue ndogo lakini kanambia nanukuu "hujanijua vizuri kumbe"
Nimeongea nae sana kumsihi abadilike lakini naona bado, nimeshirikisha Dada yake lakini bado, nachowaza kwa sasa ni kukaa kijeshi tu, nikae kibabe nisimjali kiufupi kila mtu awe kimpango wake!
Na zaidi naona nazidi kupata moto kutopeleka mahali naona kama hatutadumu na huyu bibie, sijajua kinachompa jeuri, historia yake kwa ndugu zake inaonekana ana kiasili cha hii tabia, mimi nina asili ya upole lakini ni mkorofi nikichoka kuvumilia.
Issue ni nyingi naomba kuweka haya ya mhimu zaidi,kama una cha kunishauri mwanaume mwenzangu karibu, na wewe mwanamke toa neno tafadhari.
Naomba radhi kama kuna makwazo kwenye uzi huu!
Nimkunjeje huyu mkuu ebu nipe tactics tafadhari
Kimbia mbio hakuna mke hapo, tena usigeuke nyuma utakuja kunikumbuka, ikiwezekana kimbia taratiiiibu Bila hata kusema
Hata kama amemweka ndani, unatumia akili kumtoroka, huyo ameanza kisirani mapema sana atakuja kumsumbuaInatakiwa mwanamke uanze kumsoma mapema kabla ya kumuweka ndani. Shida ameshamuweka ndani na kumtoa ni jambo jingine
Mbona rahisi sana, mdau amesema hajatoa mahali ni kumwambia tu ukweli kwamba sipo tayari kutoa mahali kwenu kama kusepa sepa na kuwaambia wazazi wake kuwa sipo tayari kutoa mahali kwa binti wenu.mbona atasepa tuHata kama amemweka ndani, unatumia akili kumtoroka, huyo ameanza kisirani mapema sana atakuja kumsumbua