ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,110
Mkuu wewe ni me au ke?ni add Mimi +69713886722
Mkuu wewe ni me au ke?ni add Mimi +69713886722
Block no za ma-admin kwanza then exit.Ni
Ni exist au delete baada ya kama dk Tano wananiadd tena
we add tu...utajua huko huko BTW nyuki hapigwi busuMkuu wewe ni me au ke?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] [emoji12]Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Idadi ya wanaume hapa Tanzania inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana kuwahi kutokea tangia nchi ipate uhuru!!
Habari zenu wana jf
Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nikaamua kumpiga kibuti,baada ya kumpiga kibuti nimeshangaa kukuta ameniadd kwenye group la wanawake wenzake waliyosomaga
Pamoja shule ya wadada watupu
Nikijitoa ananiadd tena nikimwandikia text ya kumwambia anitoe hajibu ,,,,
Sasa mimi napokea sms za wanawake tu whatsapp yani sipend sipend
Niilikuwa naomba msaada wa anayejua kujitoa kabisa whatsapp kwenye ligroup lao la wanawake au mnifanyeje huyu mdada? Maana nimechoka kupata matext ya kijinga na umbeya tuu
Sio kweli,kumbuken yawezekan huyo dada bado anampenda jamaa afu akaona kumuweka huko ipo siku atachangia au ataongea kitu ambacho kitafanya kundi lote wajadili na warudiane.Una tabia za kimama.
Bado kupewa tu wishes za happy women's day
Yupo kwenye dimbwi la maji alafu anakufa kwa kiu cha majiYaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
Duh. Hi Kali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]Una tabia za kimama.
Bado kupewa tu wishes za happy women's day
Mwambie aniadd na mm bro plzYaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
Kuna jambo nyuma yapazia
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Nyuma ya Pazia, Kuna dirisha..