Ameniadd kwenye group la madada wenzake

huyo hana lolote anataka wewe umsaidie kutafuta mwanamke mwengine ambae mnaweza have threesome together....sasa wewe wala usjitoe wewe chat nae na mademu wengine alafu wewe ongelea masuala ya threesome au orgy
 
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
ukitongoza mtu convo inaletwa group
unachambwa
 
Muambie ampe admin namba yako wakuadd bwana.
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
 
Habari zenu wana jf
Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nikaamua kumpiga kibuti,baada ya kumpiga kibuti nimeshangaa kukuta ameniadd kwenye group la wanawake wenzake waliyosomaga
Pamoja shule ya wadada watupu
Nikijitoa ananiadd tena nikimwandikia text ya kumwambia anitoe hajibu ,,,,
Sasa mimi napokea sms za wanawake tu whatsapp yani sipend sipend
Niilikuwa naomba msaada wa anayejua kujitoa kabisa whatsapp kwenye ligroup lao la wanawake au mnifanyeje huyu mdada? Maana nimechoka kupata matext ya kijinga na umbeya tuu
Fursa hiyo mjomba,we ukoje??
Piga gegedo mmoja baada ya mwingine.... Simamia ukucha,wakirudi kundini wasimuliane vizuri
 
Piga screen shot za profile zao na sms zao kama wanakutukana then watumie, then wambie tukutane Polisi. Ni lazima wakunyofoe wenyewe.
 
Block no za ma-admin kwanza then exit.
Hawataweza kuku-add tena.

Nb: unatuaibisha wanaume wenzio kwa ushamba wa kushindwa kutumia simu.
Ha ha ha umenichekesha asee! Ila kama wamempania hatoweza hata akiwablock maadmin cz wale maadmin wataongeza maadmin halafu hao wapya watamu add tena. Kwa hyo watakuwa wanapokezana hvohvo. Atubu tu makosa yake au awatishie atawaroga.
 
Wakiongezeka anaendelea kuwablock tuu, wala haihitaji kugive up.
Mwisho wa siku wenyewe watashindwa
 
Awali ya yote tupia picha yako hapa tujue tunaanzia wapi kukushauri.Inawezekana wanahitaji na mawazo yako pia.
Unajua tena mambo ya saloon talks,kitchen party weza kua unautaalamu maeneo hayo.
Tuanzie hapo kwanza.
 
Habari zenu wana jf
Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nikaamua kumpiga kibuti,baada ya kumpiga kibuti nimeshangaa kukuta ameniadd kwenye group la wanawake wenzake waliyosomaga
Pamoja shule ya wadada watupu
Nikijitoa ananiadd tena nikimwandikia text ya kumwambia anitoe hajibu ,,,,
Sasa mimi napokea sms za wanawake tu whatsapp yani sipend sipend
Niilikuwa naomba msaada wa anayejua kujitoa kabisa whatsapp kwenye ligroup lao la wanawake au mnifanyeje huyu mdada? Maana nimechoka kupata matext ya kijinga na umbeya tuu
cha maana wapige threesome
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom