Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,074
- 1,037
Kha! Ukikaa na demu mzee ukamponda hivi, utakujamwita aje tena kweli?Huyo mdada Jamaa kamkuta Bikra au??
Sio unalipia mahari 4mil then Demu ashatoa mimba za mijamaa hata 10, hajui hata we ni wa ngapi katika awaliokwishampitia na isitoshe hapo alipo ana Michepuko 10 kiboko.
Unalipa mahari 4mil wakati Demu shapeless, akisimama hujui hata mbele wapi na nyuma wapi, uso umekomaa kwa mkorogo huku Miguuni ni mweusi.







