Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
Toeni mahari acheni visingizio


Aah wapi wewe ndiye nikuambie welcom back... humu hauonekanimzima haswa my shem, nimemis not to zet eksitent
hahahahahah welcome back maana naona umebanwa na naniliuuuuuuuuuuuuu
Haaaa hivi, BA's ndo maana nimekuhamu hivyoAah wapi wewe ndiye nikuambie welcom back... humu hauonekani
Au unamsaidia jamaa kutradeHaaaa hivi, BA's ndo maana nimekuhamu hivyo
?Kupata machine "sealed" ni sawa na "Ngamia kupenya kwa tundu ya sindano"Unalipia "mahali" yote hiyo halafu machine yenyewe labda ni "USED".
Hahahahah hizo siri za ndan bhana acha hizoAu unamsaidia jamaa kutrade?
TehHahahahah hizo siri za ndan bhana acha hizo
yaani hii imeshakua biashara kama biashara nyingineNiko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.
NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
Asante na samahan kama nimewakwazaAnzisha uzi wake ushauriwe vzr
No hujanikwazaAsante na samahan kama nimewakwaza
Bro isevu vizuri kwa reference..Huo ujinga sifanyi..Na mkwe atakayeniletea pigo hizo namuachia mtoto wakeBro,
Nimekunukuu
Ili tumthaminishe na kiasi kilichotokaPicha ya nn?