miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,275
Utalipaje m5 mahari bana, hembu aweke huyo shemej tumthaminishe kama anafikia hilo dauunaishi kwa kukariri.si kila ndoa zinavunjika.
Utalipaje m5 mahari bana, hembu aweke huyo shemej tumthaminishe kama anafikia hilo dauunaishi kwa kukariri.si kila ndoa zinavunjika.
Huyo mdada Jamaa kamkuta Bikra au??Niko maeneo @ kumpa kampani rafiki wa karibu Eric anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni,,,,sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa mil4 cash katika5mil.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza ....jamani Mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70000 tu .
NB:wajomba muwe na huruma....maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
Bint msomi msukuma@ kazuriHuyo mdada Jamaa kamkuta Bikra au??
Sio unalipia mahari 4mil then Demu ashatoa mimba za mijamaa hata 10, hajui hata we ni wa ngapi katika awaliokwishampitia na isitoshe hapo alipo ana Michepuko 10 kiboko.
Unalipa mahari 4mil wakati Demu shapeless, akisimama hujui hata mbele wapi na nyuma wapi, uso umekomaa kwa mkorogo huku Miguuni ni mweusi.
Mi ningeondokaaaa siwezi
Bora tu asiweke,Utalipaje m5 mahari bana, hembu aweke huyo shemej tumthaminishe kama anafikia hilo dau
Bikra sina uhakika cz wao ndio wanajua@ bt kwa ninavyomjua itakuwa bikra kapole SNA hana izoHuyo mdada Jamaa kamkuta Bikra au??
Sio unalipia mahari 4mil then Demu ashatoa mimba za mijamaa hata 10, hajui hata we ni wa ngapi katika awaliokwishampitia na isitoshe hapo alipo ana Michepuko 10 kiboko.
Unalipa mahari 4mil wakati Demu shapeless, akisimama hujui hata mbele wapi na nyuma wapi, uso umekomaa kwa mkorogo huku Miguuni ni mweusi.
Hata angekuwa bikra mpaka kidole hakipiti, nini uhalisia wa mahari??Huyo mdada Jamaa kamkuta Bikra au??
Sio unalipia mahari 4mil then Demu ashatoa mimba za mijamaa hata 10, hajui hata we ni wa ngapi katika awaliokwishampitia na isitoshe hapo alipo ana Michepuko 10 kiboko.
Unalipa mahari 4mil wakati Demu shapeless, akisimama hujui hata mbele wapi na nyuma wapi, uso umekomaa kwa mkorogo huku Miguuni ni mweusi.
Msomi wa level gani??Bint msomi msukuma@ kazuri
Kama tunda halijang'atwa bado, hata hiyo M4 bado ni ndogo sana. Lakini kama wajanja walishang'ata, hiyo ni pesa mingi sana kuitoa aisee.Kapole sana sidhani km kameanza vitu vya mapenzi@ ni graduate UDSM...amesomea kukaa nyumbani PSPA
Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.
NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..
Pole ndugu ya
Nikweli umempendaKaka umeamua kuja kunidhalilisha kwenye mtandao? Mahari nimelipa na nishampenda@ sipendi unafki nakuheshimu sana
Ndoa zako2 mbona sikuingilii unaishi nao kidkteta mbna sisemi?
Simaindi aise unaijua kazi yangu jiandae kwa mashambulizi...
Sitishiki mil4 nyingi sana mkuu@ kuishi na wake2 kunahitaji udikteta unadhania bila hivo wangeishi nyumba1 kirahisi?Kaka umeamua kuja kunidhalilisha kwenye mtandao? Mahari nimelipa na nishampenda@ sipendi unafki nakuheshimu sana
Ndoa zako2 mbona sikuingilii unaishi nao kidkteta mbna sisemi?
Simaindi aise unaijua kazi yangu jiandae kwa mashambulizi...