Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Upendo ni zaidi ya hizo hela... We sawa tuuUsijali, Wewe za kwako hizi...
![]()
Upendo ni zaidi ya hizo hela... We sawa tuuUsijali, Wewe za kwako hizi...
![]()
Khaaaaa.....!!!Akuuu
Siwezi kufa na homa ya ini mie
Upendo ni zaidi ya hizo hela... We sawa tuu
hahahahahahaha, mimi mjinga kweli naona kama ni kweli ujue looohKwa sababu una moyo wa shukrani, ongeza na hizi.
![]()
duuuh mbona yeye kapewa nyingi lakini? kuna nini hapa sasaUsijali, Wewe za kwako hizi...
![]()
ohooo na mimi ni chaguo la pembeni sio?Usijali, wewe ndio chaguo langu...
![]()
Subiri nikija Arusha nitakuambia...ohooo na mimi ni chaguo la pembeni sio?
wewe sema hapa hapa nijiandae bhana looohSubiri nikija Arusha nitakuambia...
Punguza wivu basi LOLduuuh mbona yeye kapewa nyingi lakini? kuna nini hapa sasa
wewe sema hapa hapa nijiandae bhana loooh
NdiooKhaaaaa.....!!!
Unanitesa sanaSubiri nikija Arusha nitakuambia...
Siwezi Mimi... Sky tu navumilia mpaka naumwa
Ndioo
Umeniumiza sana
Mimi ni mwanaume nitakuwaje na bikira?wewe bikira unayo? ushawahi kuwabikiri wangapi? kwa taarifa yako wanawake wachache sana wanaoolewa wa mjni wanaoolewa na wariowabikiri.
unaweza kuoa bikira ukafikiri wewe ndo mjanja wake akakutana na wataalamu wakamkarabati ukaonekana wewe sio kitu.
we lipa tu hiyo nne tabu iko wapi ukipata mechi tatu kwa wiki kwa miaka 20 hela yote isharudi!
utagoma kulipa milioni 4 lakini utamnunulia baba mkwe gari la m12 au utamsomesha shemeji yako kwa m7 we endelea kugoma
Siwezi Mimi... Sky tu navumilia mpaka naumwa
Not anymore!!!