Amelipa mahari milioni 4!

Amelipa mahari milioni 4!

Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.

Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.

NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..

Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
*****
Huo si mtaji kabisa
 
Kwanza inaonekana anawajua ndo maana alienda na hela yote hiyo
 
Hivi wakuu inakuaje,mfano MTU kalipa mahari then mwanamke anakaa miez 7 anarud kwao na wazaz wake wanampokea na kumfungulia duka na mahari ilikua million mbili,,ni ushauri wa kitaalam ndo unatakiwa.
Anzisha uzi wake ushauriwe vzr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom