Amelipa mahari milioni 4!

Amelipa mahari milioni 4!

Bikra sina uhakika cz wao ndio wanajua@ bt kwa ninavyomjua itakuwa bikra kapole SNA hana izo
kipole ndio nini bab..hata kama angekuwa nibikira ndio nni sasa...
mimi sijawahi kuona kuwa bikira ni big deal katk maisha yngu ijpokuwa nimeshawahi kuzitoa 3,,,but naonaga kawaida tu cuz nisehemu ya mapito ya ukuuaji wawenzetu hawa...
hiyo ml.4 napata Vits used bado iko fit tyu
 
bed6c7a16111f5bcb908cf630e232196.jpg
hahaaa aiseee hawa Pesa kwao ningeni kabisa..Pesa gani zahesabiwa hvyo mpka kuwekwa chini ..yaani wakipewa kuanzia ml.10 wahesabu siwatazizungusha nyumba nzima
 
mtu mmoja alitumwa na mjomba wake aende sehemu fulani akamletee mwanamke, alipofika mwanamke akawaambia ataondokaje hajaacha pesa nyumbani, jamaa akampigia mjomba wake, mjomba akamwambia mpeni 50,000/- akawa hana lakini dereva wa tax akawa nazo wakampa kisha wakaondoka.
walivyofika hotelini wakaendelea na starehe za kawaida tu kula kunywa kisha jamaa akaondoka mjomba akajitwisha zigo lake ndani.
asubuhi mjomba akamuaga yule binti na 250,000/- ikabidi jamaaa apige kelele kwamba mjomba unahonga sana, mjomba mtu akamuuliza kwani wewe huwa unahonga ngapi, dogo akajibu ikizidi sana 10,000/- ukionga 10,000/- unabaki na ngapi, akadai naweza kubaki na 5000 akamwambia mjomba unahonga sana.
nini nataka kusema 4m inaweza kuwa haina thamani halisi kama 70,000/- kwakuwa kabla mahali haijapangwa huwa inafanywa tasmini ikiwa mwowaji anatoka katika familia gani na wanajiweza kwa kiasi gani.
lengo kubwa ni kupunguza dharau isionekane alimpata kirahisi mno na hii inamjengea heshima mwowaji na mwolewaji. nakumbuka tulivyo kuwa tunasoma shule ya msingi wanawake wa kabila fulani walikuwa rahisi ukienda na mia tano unapewa mke sasa fikiria nilikuwa darasa la tano lakini niliona wamedharauliwa.
hivyo toeni tu kwani hata huyo wa 70,000/- aliomba apunguziwe ndo ikafika hapo
 
Kuoa kwa sasa nako ni ujasiriamali
hivi unamwoa binti kamaliza masters akiwa amesomeshwa na wazazi wake na ameanza kazi pia wewe uwezo unao na umeishi mjini na gharama unazijua shida iko wapi ukiwapa wazazi wake zawadi 4m
 
Teh
haya acha niendelee kupiga hesabu ya mahari niliyotoa nami niteme povu hapa
Hahhahahahahha duuuh acha hizo Shem nishasema ujue
Usije mwaga kuku kwenye Michele harifu
 
kipole ndio nini bab..hata kama angekuwa nibikira ndio nni sasa...
mimi sijawahi kuona kuwa bikira ni big deal katk maisha yngu ijpokuwa nimeshawahi kuzitoa 3,,,but naonaga kawaida tu cuz nisehemu ya mapito ya ukuuaji wawenzetu hawa...
hiyo ml.4 napata Vits used bado iko fit tyu
Ukiongeza 2m nakupa brevis
 
hivi unamwoa binti kamaliza masters akiwa amesomeshwa na wazazi wake na ameanza kazi pia wewe uwezo unao na umeishi mjini na gharama unazijua shida iko wapi ukiwapa wazazi wake zawadi 4m
Baada ya ndoa sitosaidia tena ukweni? Kusomesha ni wajibu wa mzazi. isiwe sababu ya kutwishana gharama!
 
Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.

Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.

NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..

Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
Starehe garama mkuu
 
efu sabini unanunua bia ama mtoto aliyehudumiwa na wazazi halafu anakuja kukuhudumia na wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom