Amelipa mahari milioni 4!

Amelipa mahari milioni 4!

Kama anaenda kuoa ushuani ni sawa tu..na yy adi kuwa na uwezo wa kulipa mil 4 cash kwa ajili ya pussy ela zipo ko ni sawa tu..
 
We nitenge tu... mi ntamuachia Mungu.

Shauri zako.
nani kakuambia naweza thubutu? acha hizo bhana
ukija safari ingine njoo mitaa ya matejoo wewe itisha tu jje's utanipata.
usitumie hata vocha yako kabisa

kkkkkkkk
 
Arusha nimejaa tele hata ukiuliza muuza genge yeyote kuwa unamtafuta jje's unanipata bila shida yeyote.

teh teh biashara zangu ziko pande hizo nilizotaja
We sawa tu...
 
nani kakuambia naweza thubutu? acha hizo bhana
ukija safari ingine njoo mitaa ya matejoo wewe itisha tu jje's utanipata.
usitumie hata vocha yako kabisa

kkkkkkkk

Hebu chukua hii kwanza uende saluni, nikija nikukute uko tayari.

images
 
Mahari ya kawaida sema wewe kwa nafasi yako haungeweza watu wanapesa zisizo za mawazo na wanafahamu thamani ya binti anayehitajika kawaida tu mkuu
 
Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.

Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.

NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..

Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
Huyo bwege tene narudia huyo bwege.najua atasema et kampnda!!!ivi wewe unaoa MTU kwa mil4 unakichaa?ana upekee wa aina gan?kama anakunya dhahab sawa ila kama anakunya mavi tena yanayonuka Mkuu hapo kachambiaa makalii,,,anyway mtoa mada tutaombaa mrejesho wa hii ndoa
 
hivi unamwoa binti kamaliza masters akiwa amesomeshwa na wazazi wake na ameanza kazi pia wewe uwezo unao na umeishi mjini na gharama unazijua shida iko wapi ukiwapa wazazi wake zawadi 4m
Siwezi kutoa mahari ya 4+ mil. kwa mwanamke hata awe na phd, ila naweza nikatoa mahari hata ya 10+ mil. kwa mwanamke bikra
 
Hebu chukua hii kwanza uende saluni, nikija nikukute uko tayari.

images
hela ni kitu ingine nimeamini, nimejikuta natabasamu mwenyewe.thanks sana dear, make it really kwa kale kanamba kalikosajiliwa basi na jina langu halisi jje's bhana niende faster kukachua.

thanks though for the steps taken so far

looooo hela kiboko
 
Siwezi kutoa mahari ya 4+ mil. kwa mwanamke hata awe na phd, ila naweza nikatoa mahari hata ya 10+ mil. kwa mwanamke bikra
wewe bikira unayo? ushawahi kuwabikiri wangapi? kwa taarifa yako wanawake wachache sana wanaoolewa wa mjni wanaoolewa na wariowabikiri.
unaweza kuoa bikira ukafikiri wewe ndo mjanja wake akakutana na wataalamu wakamkarabati ukaonekana wewe sio kitu.
we lipa tu hiyo nne tabu iko wapi ukipata mechi tatu kwa wiki kwa miaka 20 hela yote isharudi!
utagoma kulipa milioni 4 lakini utamnunulia baba mkwe gari la m12 au utamsomesha shemeji yako kwa m7 we endelea kugoma
 
hela ni kitu ingine nimeamini, nimejikuta natabasamu mwenyewe.thanks sana dear, make it really kwa kale kanamba kalikosajiliwa basi na jina langu halisi jje's bhana niende faster kukachua.

thanks though for the steps taken so far

looooo hela kiboko

Kwa sababu una moyo wa shukrani, ongeza na hizi.

images
 
Hayo ni uwezo wa mtu mwenyewe kama lofa na hana asingelipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom