Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Mtie tu jamani, mbona kidogo tu hiyo kuliko faida tunazowapa!!!
Mtie tu jamani, mbona kidogo tu hiyo kuliko faida tunazowapa!!!
Sitoi mimi hiyo pesaGraduate mlimani
Sawa JiraniMvumilivu hula Mbivu!
Zako alitoa kwa moyo mmoja tena akakuongeza kabisaaahahahahahahah zile zako ndo zilikuwa nyingi bhana
Kulipa mahali kumepitwa na wakati,..
Huu si muda wa kulipa mahali
Huwa najiuliza hii mahali ni ya nini..!
Haina maana kabisa...
Khaaaaata ubusti nilisikia siku moja akisema yeye ni mtaalam wa hayo
AiseehMwanamke ni bidhaa, inategemea na muuzaji anataka shilingi ngapi.
Aiseeh