Mchumba sio mkeMke wa MTU hafai mkuu..ni sumu
Kulipa mahali kumepitwa na wakati,..
Huu si muda wa kulipa mahali
Huwa najiuliza hii mahali ni ya nini..!
Haina maana kabisa...
Mtaalam nipe majib apo juu na c kuhakiki lugha tuMkuu andika mahari sio mahali
Baba yake mkulima na mama yake ni nurse attendantHuyo Mdada Bikra..? Mtoto wa Balozi..? Au
Bora tu asiweke,
Maana ukimuona hafai hata kwa Buku
Sasa najua ulichokiongea n uwongo,Jamaa katoka nje analalamika