tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
no, mm nayafahamu haya mafuta, yametngenezwa special kwa wanawake wacotoa ute wkt wa tendo la ndoa sa wabongo ndo wakachakachua ma2miz yake
Sio special kwa wanawake bibie..ni special for any lubrication.....mfano kumuingizia mtu catheter awe mwanaume au mwanamke...na procedure mbali mbali za hospitalini ambazo zinaitaji ulainishi sehemu ili kifaa kipite.. hayo ya kutumia kulainisha uke na anus kwa ajili ya mapenzi tumefanya sisI...SIO SPECIAL KWA WANAWAKE