Amejificha au wamemficha?

Mmmh

Kama ni hivo kweli uchaguzi ufanyike upya mara hii uwe huru na haki.

Au mchakato wa katiba mpya uanze mara moja.

La sivyo mambo haya yatakuwa yanajirudia kila mara
Mama samia alishasema Katiba yetu ni nzuri sana. Tunaweza kufanya mabadiliko ya viongozi bila kupata changamoto.
 
wameboresha kuaribu kabisa mfumo.📌🔨❕❗
 
TISS ya Kambarage na TISS hii ya sasa iliyojaa chawa waliokulia ndani ya UVCCM ni vitu viwili tofauti kabisa, hakuna wenye kujali maslahi ya nchi yaani wote ni chawa wa wale waliowaingiza kwenye system.
As a country, we're doomed. The future looks very bleak.
 
Mshana Jr mzamishe kwanza huyo nzi kwenye maziwa kisha mtoe Unywe Hiyo chai yako ya maziwa, maana Nzi Bawa moja kabeba sumu na moja kabeba Dawa, so Sumu ikitune na Tiba moja kwa moja alafu ndipo utajua kuwa hata hizi mbio za Mwalimu wa darasa la pili "Paul Madaladala", Kuanza kufundisha hadi Chuo kikuu wakati nafasi yake ni Mwalimu wa shule ya msingi ni sehemu ya hofu ya Mkutano mkuu wa "92OM", kule nchini Malawi.
 

Kwa hiyo hapo unamtabiria DOGO ama .... Bora tuendelee na huyu. Zimwi ulijualo...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…