Amejificha au wamemficha?

Huyo wanasema kafia kwenye kidondaπŸ€”.Kama siyo milk shake!
 
Usikimbie swali

Na Hao alikuwa akiwaambia walikuwa vipofu na viziwi Kama wewe?
Yesu akasema..mimi nimekuja duniani kuwafanya vipofu na viziwi wawe wanaona na kusikia na wale wasio vipofu na viziwi wawe vipofu na viziwi..
Mafarisayo wakamuuliza Yesu je na sisi ni vipofu na viziwi..? Yesu akawajibu ...akasema kama nyinyi mngekuwa vipofu na viziwi msingesema mnasikia wala kuona.
 
Kwani yesu aliposema Hakuna mtu aliyemwona Mungu wala kusikia sauti yake ilikuwa hadithi tu?
Tumia akili kutambua hiyo lugha na maana yake ...

β€œHakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.”
 
Kuna watu walifunga na kusali, kuna watu wameroga kwelikweli..... makombora yote hayo hawezi toka salama...
Hii nakubaliana nayo 100% mengine nmeshuhudia. Na sio yeye tu wote waliohusika kuanzia kutoa idea ya mauaji Hadi utekelezaji Hadi kufyatua risasi ..wote watalamba mchanga ..mnafikiri ajali zinatokea maaskari wanakufa ni kitu Cha kawaida? Hawa watu ni devil worshippers, kwanza kwa wao tu kuwepo kwenye uongozi tayari unaona Kuna laana juu ya nchi, ushoga, watoto wadogo wanauawa, lazima Mungu awasafishe wote
 
Paschal huu uwanja wa kueleza mambo na kumsafisha mtu upo vizuriπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…