Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Hahaha aise. .kuweni hata na utu kidogo jamani duh
Siku hizi mademu mna mashimo sana yaani balaa tupu,kuna mmoja hata mm nilipiga Mara moja tu maana demu ana bonge la shimo hakuna radha kabisa..
 
Hahaha
Hizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.
 
Miezi 6..? Hahahaa
trust me. KUM+MA yako INANUKA , au mdomo, nishawai mpotezea dem kwa sababu iyoiyo,

angalia ku ma yako vizuri

huo ndo ukweli

na iyo harufu haitamuondoka kichwani mwake mpaka ipite miezi 6
 
Bila kutaja kwenye masumbwi yenu mlipiga raundi ngapi na kama mlivaa gloves.
Sitoi Ushauri hata ukituma Mpesa
 
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje

HESHIMA YAKO KWAKE ILIKUWEPO TU KABLA YA KUVULIA NGUO. MDADA UKISHA MVULIA MWANAUME NGUO, BASI DHAMANI YAKO IMEISHA.
 
ungekua mwanaume kwa siku 2 (ambae sie hanisi) wallah ungekuja na kufuta unachokiandika
Kwani wanaume wenzenu wanaoweza kuhimili wanawezaje?? Usiniambie eti ni mashoga sijui siyo marijali hizo ni sababu za kijinga za kuhalalisha umalaya wenu baadhi ya wanaume ninachojua ni kwamba maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote mbili

Hakuna jinsia iliyoruhusiwa kufanya umalaya sasa hayo maneno ya kwamba ningekuwa mwanaume ningeelewa kwanini mko hivyo unaonaje ukamwambia Mungu aliyewaumba na aliyeweka sheria zake na siyo mimi?? Hakuna sababu yoyote ya mtu yeyote kuwa malaya
 
Unafikiri ni kwa nini Adam alikatazwa na Mungu lakini bado alimtafuna Hawa kama siyo asili ya tamaa ya mwanaume.
Mungu alimkataza Adam kulala na Hawa?? Hebu nioneshe hilo andiko!!

Naomba usiniambie eti ni lile tunda ndiyo lilimaanisha tendo la ndoa!! Hahahaha yaani kwamba ninyi ndiyo mnajua sana kutafsiri maandiko siyo??
 
Hatudharau nguvu za kimaumbile za mwanaume ila tunafuata maandiko mkuu labda kama kuna andiko linawaruhusu wanaume kufanya uzinzi na uasherati basi niletee hapa vinginevyo hayo maneno mumuambie Mungu aliyewaumba hivyo ila akawakataza kufanya uzinzi na uasherati na siyo sisi tunaosisitiza tu
I second you here. Maumbile yanaathiri matendo. Nature affects nature. Hii ya kudhalau nguvu ya kimaumbile ya mwanaume haitofautiani sana na ile ya baadhi ya wanaume wanaodhalau na kubeza baadhi ya tabia mimba za wanawake wajawazito.
 
HESHIMA YAKO KWAKE ILIKUWEPO TU KABLA YA KUVULIA NGUO. MDADA UKISHA MVULIA MWANAUME NGUO, BASI DHAMANI YAKO IMEISHA.
Oohh halafu kwa kauli kama hizi mnataka mkitongoza msizungushwe mkubaliwe hapo hapo eti enh?
 
hao ni mashoga (hanisi) niamini mimi, mchunguze vizuri
Msidhani huku mtaani sisi hatuishi na wanaume wenzenu na hatuwajui vizuri tunawajua sana na ni wanaume wengi tu marijali hapa duniani ila hawachepuki hivyo mnaochepuka mnajiendekeza kwa sababu hata msipochepuka hamuumwi wala hamfi ila basi tu umalaya unawasumbua
 
Back
Top Bottom