Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Vp Izo fryover kifuani zime simama au ndo yale yale..
 
Simple alikuwa anakutamani kimapenzi...

We sio mbaya,we sio kwamba hujui mapenzi,we sio mchafu,We sio kwamba huna mvuto...

Mwanaume akikutamani kingono kakutamani kingono kubadilisha hiyo attitude Ni ngumu sana...

Usipoteze mda wako mama,move on hapo ndo ushagongwa hivo, kaa jipange kwa mahusiano mengine...

Hii game ni ngumu sana kuwa makini mtoto mzuri...

Maneno ya Mwisho makali usijitie kimbelembele kurudi kwake ata ku damage tu,mwishowe ujione kituko....
Upo very positive,Watu wa design yako mnafanikiwa sana kwenye life
 
Aiseee umeliwa binti, tatizo siku hizi hamuogi vzuri na hamkati mauno vzuri.

Au ndio nyie breki ni makaghari?
Hamko wabunifu kabisa unafika ulingoni unalala kama unajifungua buwana.
 
Aiseee umeliwa binti, tatizo siku hizi hamuogi vzuri na hamkati mauno vzuri.

Au ndio nyie breki ni makaghari?
Hamko wabunifu kabisa unafika ulingoni unalala kama unajifungua buwana.

Mimi yani huwa naangalia Mauno, akiferi hapo ndio basi tena.
 
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
pole ushawahi kusikia kitu kinaitwa hit and run basi ndo hivo kapiga kaondoaka welcome to the real world
 
Maskini pole...ndo ushaliwa mama..hakuna namna
 
Back
Top Bottom