utakua na bwawa weweMimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Mwanamke ndiye mwenye nguvu na uwezo wa kuzuia ngono kabla ya ndoa.Kwahiyo mnadhani wanawake watawajuaje wenye nia za dhati na waongo? Au wanakuwa na alama mwilini za kuwatofautisha? Maana kama ni kutongoza wote wanatongoza kwa mbinu zile zile! Cha msingi ni hivi hakuna jinsia inayotakiwa kuilaumu nyenzie dunia imeshaharibika tukubaliane tu na hali halisi yote haya mmeyataka wenyewe hasa wanaume!
Inategemea mkuu kama ghetto lako modernized yaani angeweza kuosha vyomba ndani kwa ndani na hakuosha basi kweli huyo hafai.Kuna demu alikua gheto, baada ya kumla papuchi asubuhi nikaenda mishe ile narudi jioni nakuta vyombo vichafu hajapiga deki Wala Nini,, yaani ameamka tu na kusepa,,, toka sikuhyo hata simu yake sipokei,,, wanaume hatupendi wanawake wachafu bna
Hili siyo kwa wanaume tu hata wanawake ni wale wale unaweza achwa bila sababu za msingi. sema wanaume kuongea au kulalamika mwiko kama wanawakeKwani wanaume mnakuwaga na sababu za msingi za kuwaacha wanawake basi? Si umalaya tu ndiyo unawasumbua?
Nimekuelewa ila usisahau pia ya kuwa kwenye bible kuna wanaume wengi waliokuwa wameoa au kulala na wanawake wengi lakini bado wakawa watu mashuhuri wa kwenye biblia au kitabu cha neno la Mungu.
Kwani wewe ulishindwa kusafisha nyumba yako mwenyewe mkuu??Kuna demu alikua gheto, baada ya kumla papuchi asubuhi nikaenda mishe ile narudi jioni nakuta vyombo vichafu hajapiga deki Wala Nini,, yaani ameamka tu na kusepa,,, toka sikuhyo hata simu yake sipokei,,, wanaume hatupendi wanawake wachafu bna
Na hapo ndipo mnapokosea mnaposema kwamba mwanamke ndiyo mwenye nguvu na uwezo wa kuzuia ngono kabla ya ndoa hivi wanaume kwanini kila kitu mnapenda kusukumizia wanawake? Ulitakiwa useme wanaume na wanawake wote wanatakiwa wajitunze wanaume muache kutongoza hovyo kama hamna nia ya dhati na wanawake waache kukubali hovyo kama hawana nia ya dhatiMwanamke ndiye mwenye nguvu na uwezo wa kuzuia ngono kabla ya ndoa.
Imagine kama ingekuwa inawezekana wanawake wote duniani mkahamua kutogawa nonino zenu mpaka mfunge ndoa.
Alafu na walioolewa wakawa wagumu kutoa nje ya ndoa. Basi wanaume tutakuwa hatuna namna nyingine isipokuwa kufunga ndoa ili tupate hizo pochi manyoya zenu.
Kwa hali ya sasa ambabo unatongoza hapo hapo au baada ya siku mbili tu unapewa, au akikunyima Amina unazunguka nyumba ya pili Maria anakupa bila usumbufu.
Alafu eti anamaliza kukupa anaanza kulalamika jamaa kabadilika baada ya kupewa penzi!! Siyo kubadilika huko bali bidhaa rahisi rahisi kama hiyo uliyompatia ziko nyingi mno ndiyo maana anaonjaonja na kuacha.
Hili siyo kwa wanaume tu hata wanawake ni wale wale unaweza achwa bila sababu za msingi. sema wanaume kuongea au kulalamika mwiko kama wanawake
YUKO BIZE .SUBIRI ATAKUTAFUTAMimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Itakua umeshindwa kukonga mtima wake wakeNaombeni ushauri nifanyeje
Unachosema ndiyo ukweli wenyewe lakini uhalisia hauko hivyo. Katika kuishi binadamu tunaombana vitu mbalimbali zikiwemo hizo nonino zenu.Na hapo ndipo mnapokosea mnaposema kwamba mwanamke ndiyo mwenye nguvu na uwezo wa kuzuia ngono kabla ya ndoa hivi wanaume kwanini kila kitu mnapenda kusukumizia wanawake? Ulitakiwa useme wanaume na wanawake wote wanatakiwa wajitunze wanaume muache kutongoza hovyo kama hamna nia ya dhati na wanawake waache kukubali hovyo kama hawana nia ya dhati
Siyo wanawake wakubali kujitunza halafu ninyi muendelee kutongoza mnadhani wanawake ni malaika kwamba wao watachomoa kila mtongozo? Sijui kwanini wanaume wengi mnafikiri kwamba wanawake ni malaika hawatakiwi kutenda dhambi na wakitenda dhambi basi wanafanya makusudi ila wanaume mkitenda dhambi basi ni bahati mbaya tu maana ninyi pekee ndiyo binadamu
Kuua na kuzini ni dhambi hilo halina ubishi. Issue ni kuwa walifanya hivyo na kusamehewa kwa kuwa ilitambulika ya kuwa kimaumbile mwanaume yuko vulnerable kulala na wanawake wengi hivyo hata kwenye jamii ya kibiblia anaseheka haraka zaidi kuliko mwanamke.Kilichowafanya wawe mashuhuri siyo huko kuoa kwao wake wengi bali ni imani zao na isitoshe wengi wao walipewa adhabu na walikuja kutubu kwa kuoa wake wengi mfano David na mwanaye Solomon ambao ndiyo wanatolewa sana mfano na kumbuka hao pia waliua na bado waliendelea kuwa mashuhuri hivyo utasema kuua siyo dhambi tena kwa sababu tu hao walifanya??
Kuua na kuzini ni dhambi hilo halina ubishi. Issue ni kuwa walifanya hivyo na kusamehewa kwa kuwa ilitambulika ya kuwa kimaumbile mwanaume yuko vulnerable kulala na wanawake wengi hivyo hata kwenye jamii ya kibiblia anaseheka haraka zaidi kuliko mwanamke.
Sina uhakika kama wanawake wote waliotembea na hao watu wazinzi mashuhuri wa kwenye bible na wao walisamehewa hivyo hivyo. Hiko hivyo hata leo mwanamke mzizi anahukumiwa zaidi na jamii na hasa nyie wanawake wenzie kuliko mzinzi mwenzake wa kiume.
Hiyo ya kuua inategemea waliua katika mazingira gani. Hata leo kwenye jamii zetu watu wanauana lakini scenarios za kuuana hazifanani. Wakati vifo vingine vinasameheka vingine havisameheki kabisa, wakati vingine vinapewa adhabu ndogo tu.
Hivi hao watu sahihi ndiyo wepi na wanakujaga na alama gani mwilini hebu leo mtuambie?Safi sana kwa huyo baharia,watu sahihi walikufuata ukawaona si chochote kitu,ulivyoona baharia anafanya kazi bank gafla nyapu ikalowa na ukampa baharia kaacha kohozi lake sasa unakuja kuanzisha Uzi huku sisi tukushauri nini hapa,,nyau wewe
Sasa nianzie wapi kujibu maswali yako, maana hata nijibu vipi utokubaliana nami kwani umeisha ni classify kuwa na imani mbovu tena eti na akili za kushikiwa. Sijui kwa nini umeamua kutukana wakati nikikusoma naona kama vile ni mdada/mmama mwenye imani yake. Uwezi kuwa sawa kiimani kama unadharau wenzio. Dharau ni jeuli na ni moja ya dhambi kubwa ya mauti.Yaani unaongelea adhabu zinazotolewa na wanadamu wenzetu na siyo Mungu? Hauko serious hebu naomba tujikite kiroho zaidi na siyo kimwili wewe unaongelea adhabu zinazotolewa na wanadamu mimi naongelea adhabu zinazotolewa na Mungu humans are never fair kwahiyo naomba twende kiMungu zaidi nikuulize hili swali wanawake wanaotembea na wanaume wengi Mungu huwa anawapa adhabu gani? Na je ni andiko lipi kwenye biblia linalokataza mwanamke kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja na ni andiko lipi linalomruhusu mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?
Halafu naomba nikurekebishe hapo kwa hao mitume na manabii kwa taarifa yako tu hao karibu wote walipewa adhabu na walisamehewa baada ya kutubu hawakusamehewa hivi hivi tu na kingine kilichowabeba wakawa karibu na Mungu ni imani zao sasa nashangaa wanaume wa leo mnavyojifananisha na hao waliokuwa na imani za kuhamisha milima wakati ninyi mna imani mbovu za kushikiwa akili tu muwe mnasoma maandiko vizuri na kuyaelewa siyo mnakurupuka tu kutolea mifano hao watu wa kwenye biblia kwa kusikiliza stori za vijiweni haya naomba unijibu hayo maswali yangu hapo juu kwenye aya ya kwanza