Usifanye kitu msubiri tu atakupigiaMimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
alisikika baharia mmoja akiongea na simuBado nipo na wewe, mambo tu yamekuwa mengi,by next week nitakuwa free I wanna let you know uje ghetto . I lov u bby️.

Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Play safe, beautifulAnd the game begins.

Aisee hili swala la 'kuifinyia' kwa ndani naona linatajwa sanaLabda amekuwahi kabla hujaanza mizinga..
Siku nyingine akikuita uoge vziri sana alafu ufinyie kwa ndani