Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Rudi unyagoni ukafundishwe namna ya kuridhisha mwanaume, hafu ulifinyia ndani?
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
 
Sasa nianzie wapi kujibu maswali yako, maana hata nijibu vipi utokubaliana nami kwani umeisha ni classify kuwa na imani mbovu tena eti na akili za kushikiwa. Sijui kwa nini umeamua kutukana wakati nikikusoma naona kama vile ni mdada/mmama mwenye imani yake. Uwezi kuwa sawa kiimani kama unadharau wenzio. Dharau ni jeuli na ni moja ya dhambi kubwa ya mauti.
Sijakudharau ila nimekujumuisha kwenye hayo makundi kwa sababu umezitetea hizo tabia sidhani kama ungekuwa hauna au haupendi hizo tabia basi ungezitetea
 
Jmaa alitegemea kukuta bikira kwa namna alivyokuona lakini akakuta shimo hakuamini
 
Hivi hao watu sahihi ndiyo wepi na wanakujaga na alama gani mwilini hebu leo mtuambie?
Watu sahihi ni wale wanaokuja huku hawana pesa wala kazi,80% ya hao huwa wanamaanisha kile wanachokuambia,sasa na wewe pia ni jukumu lako kumshauri ili mfanye kitu chochote kitakacho weza kuwaingizia kipato na hapo utakuwa na thamani kwake pia atakuthamini,ila mnapokosea ni pale mnapotaka kuwa na watu ambao tayari wamefanikiwa,na mnasahau kuwa nyuma ya mafanikio ya huyo unaye muona kuna mwanamke kama wewe
 
labda hakuoga vizur jamaa anaendelea kusafisha chumba kutokana na smell iliyobaki
Ulioga vizuri mtoto wa kike.???
Cha kufanya ni kumpotezea na wewe mara moja kama hamkuwahi kuonana vile na si vinginevyo..na kama hafanyi kazi crdb huyo basi exim(kiddin')
 
Mmh labda jamaa alijua atavunjwa bikra mwisho wa siku kakutana na bahari, pole sana dada wanaume wapo wengi subiri fungu lako
 
Sa kama kwake unapajua kwann usiende kumuuliza
Au uliliwa ata kwake hupajui?
 
Back
Top Bottom