Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Nahic ulikuwa na harufu alishindwa kivumilia....kiufupi hii ishu ishawai nitokea kuna Mdada nilipata Papuchi yake lakini nilichokumbana nacho...tangu siku hiyo...nilimfungia tinted...ananitafuta kila saa mi nakula kona mpaka sasa haelewi kitu gani alinikwaza...niliamua nisimwambie coz naweza mnyima amani
 
Husijisikie vibaya dear wala husione una kasoro yoyote, Yeye ndio mwenye matatizo tena ana kasoro za kiakili. Wakaka wengi wanaona sifa kuwa na wanawake wengi kiasi kwamba ukifanyiwa hivyo unajihisi labda una upungufu kwenye mwili wako au pengine we sio mzuri na kujiona huna thamani tena. No your beautiful in your way na husiruhusu mtu akufanye ujihisi you lack something as a woman.
Yupo ambaye atakupenda na kukuthamini the way you are.
Jipende kwanza kwa sababu hakuna atakayekupenda kama wewe hujipendi.
Na punguza kuwa mrahisi kwa wanaume kwa sababu nahisi huyo mwanaume hata miezi miwili hamjafikisha na kakupiga kakuacha.
Jithamini, work hard na utampata anayekupenda.
Ushauri huu ni mzuri ila moja kati ya mitihani migumu inayotushinda wanadamu wengi ni huu ulioupendekeza wa kuvumilia pindi tumeumizwa. Mara nyingi wengi wetu baada ya kuumizwa upenda kufanya mambo kwa pupa ili waumizaji waone kuwa waumizwaji wanaweza. Mara nyingi hii upelekea muumizwaji kuumia zaidi.
 
Mwendeee kwa mganga,mana haiwezekani akuchezeee then akuache.
Kuna waganga wanakosea dawa yao inashika mtu mwenyewe aliyeenda kuganga. Usiendekeze uganga, kubali tu ya kwamba majanga yanawapata watu, na watu wenyewe ndiyo sisi hivyo ukipatwa hacha lipite kwa mapenzi ya Mungu hata kama ni kwa maumivu na always remember you are never the first to encounter difficulties.
 
Maumbile huwa yanatofautiana,alichokitegemea imekuwa tofauti lakini kosa si lako;utampata atakayeendana na wewe.
 
Mwanaume ameumbwa kutamani so ukiona kaludia jua kaelewa mzigo
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
 
Ushauri huu ni mzuri ila moja kati ya mitihani migumu inayotushinda wanadamu wengi ni huu ulioupendekeza wa kuvumilia pindi tumeumizwa. Mara nyingi wengi wetu baada ya kuumizwa upenda kufanya mambo kwa pupa ili waumizaji waone kuwa waumizwaji wanaweza. Mara nyingi hii upelekea muumizwaji kuumia zaidi.
Hakuna kitu chenye manufaa na tulizo la moyo kama kuwa calm ikitokea tatizo kwenye maisha yako. Inakupa muda wa kuichunguza tatizo na kuichunguza wewe binafsi kujua umekosea wapi na kurekebisha
 
😎😎
si ushasikia kwa Diamond,ifinyie kwa ndani??basi ana maana ukiona maumbile yako ni makubwa wakati wa ku do unabana na kuachia kibibi kama wanavyofanya kwenye kegel exercise (Google)...lol...
 
Back
Top Bottom