Naunga mkono hoja,kiwango kibovu..Show mbovu
Inaonesha hukujipa muda wa kumfahamu zaidi huyo jamaa, naye ametumia upungufu wako ili ajipatie faida.Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
pole mama,itakua keki yako siyo tamu sana au ni kubwa sana ndo maana kasepaMimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Simple alikuwa anakutamani kimapenzi...
We sio mbaya,we sio kwamba hujui mapenzi,we sio mchafu,We sio kwamba huna mvuto...
Mwanaume akikutamani kingono kakutamani kingono kubadilisha hiyo attitude Ni ngumu sana...
Usipoteze mda wako mama,move on hapo ndo ushagongwa hivo, kaa jipange kwa mahusiano mengine...
Hii game ni ngumu sana kuwa makini mtoto mzuri...
Maneno ya Mwisho makali usijitie kimbelembele kurudi kwake ata ku damage tu,mwishowe ujione kituko....
ID yako ya zamani/maarufu ni ipi?Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Hapo dada haujaelewa au unatuzingua?
Kulikua na gap Kati ya expectation na reality
Nadhani kama haujanielewa najua ni ngumu kuelewa especially somo ambalo halikuhusu
Ila isikufanye ujisikie vibaya kuna mwingine atakuona mtamu na kukupenda
Sasa si angeuliza kwanza kama ipo au haipo ili ajue kama anapitia hapo au anaendelea na safari yake?Mpenzi wa bikira huyo anajaribu kuitafuta. Kwa kuwa hakuikuta kwako kaamua aendelee kuitafuta kwingine.
kuna vitu vitatu kaona kwako
1. show mbovu
2. uchi kunuka
3. mdomo kunuka au minywere yenu hiyo
Auja omba ela? Au labda alikutana na kaharufu kenu kamezidPole sana. Umejichunguza vizuri?
Huenda una tatizo mahali hujaligundua.
Alivyokudhania kakuta sivyo.
Ameumizwa kivip wakati na yeye alipata utamDogo ndio anakaribishwa kwenye ulimwengu wa mabazazi hivyo masikini.
Nyie ndio mnawaumizaga hawa watoto halafu baadae mnaanza kuwalaumu wanawake.