KINAMBUA MDONKOLO
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,154
- 1,652
Hatufanani mkuu na haitokaa iwe hvyo, kwahiyo kwa hali kama hii unataka kuhalalisha uovu uendelee? Haiwez kuwa hvyo kwa sababu ya wachache.Hizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.
Kabisa. Naona huu uzi wanafurahia sana ila wakipigwa hata buku huko wanaleta uzi. ShubaamitHizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.
Mpendwa hutaki nikutembelee PM, wewe najua uko na mnato 100%Kanisa. Naona huu uzi wanafurahia sana ila wakipigwa hata buku huko wanaleta uzi. Shubaamit
Sasa sifa ya mwanamke si shimo?ulitaka ukute uwalaza alafu ungetombaje? Mnakwama wapi mabaharia au ndo vibar100???Siku hizi mademu mna mashimo sana yaani balaa tupu,kuna mmoja hata mm nilipiga Mara moja tu maana demu ana bonge la shimo hakuna radha kabisa..
Jiangalie usiwe unanuka kMimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
mbona havihusiani, Tamari alibakwa, huyu mleta mada walikubalianaHabari yako inafanana na habari hii
2 Samweli 13
1 Ikawa baada ya hayo, Absalomu, mwana wa Daudi, alikuwa na umbu mzuri, jina lake akiitwa Tamari, naye Amnoni, mwana wa Daudi, akampenda.
2 Akasononeka Amnoni, hata akaugua, kwa ajili ya umbu lake Tamari, maana huyu msichana alikuwa mwanamwali, Amnoni akaona ni vigumu kumtendea neno lo lote.
3 Lakini Amnoni alikuwa na rafiki, jina lake Yonadabu, mwana wa Shama, nduguye Daudi; naye Yonadabu alikuwa mtu mwerevu sana.
4 Naye akamwambia, Kwa nini, Ee mwana wa mfalme, unakonda hivi siku kwa siku? Hutaki kuniambia? Amnoni akamwambia, Nampenda Tamari, umbu la ndugu yangu, Absalomu.
5 Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie, Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, anipe mkate nile, akaandae chakula machoni pangu nikione, nikakile mkononi mwake.
6 Basi Amnoni akalala, akajifanya mgonjwa; na mfalme alipokuja kumtazama, Amnoni akamwambia mfalme Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, aniandalie mikate miwili machoni pangu, nipate kula mkononi mwake.
7 Basi Daudi akatuma mjumbe aende nyumbani kwa Tamari, akasema, Nenda sasa nyumbani kwa Amnoni, ndugu yako, ukamwandalie chakula.
8 Akaenda Tamari nyumbani kwa nduguye Amnoni; naye alikuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda, akaiandaa mikate machoni pake, akaioka mikate.
9 Akalitwaa kaango, akaisongeza mbele yake; lakini alikataa kula. Naye Amnoni akasema, Toeni watu wote kwangu. Wakatoka kila mtu kwake.
10 Amnoni akamwambia Tamari, Kilete chakula chumbani, nipate kula mkononi mwako. Basi Tamari akaitwaa mikate aliyoifanyiza, akamletea Amnoni nduguye mle chumbani.
11 Naye alipokwisha kuileta karibu naye, ili ale, Amnoni akamkamata, akamwambia, Njoo ulale nami, ndugu yangu.
12 Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinitenze nguvu; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.
13 Nami nichukue wapi aibu yangu? Wewe nawe utakuwa kama mmoja wa wapumbavu wa Israeli. Basi, sasa, nakusihi, useme na mfalme; kwa maana hatakukataza kunioa.
14 Walakini yeye hakukubali kusikiliza sauti yake; naye akiwa na nguvu kuliko yeye, akamtenza nguvu, akalala naye.
15 Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako.
Jambo la msingi ni kufanya mapatano na Mungu wako kwa kuanguka kwako ktk dhambi ya uzinzi na uamue kwa dhati kutojihusisha na mapenzi nje ya ndoa maana baada tu mapenzi kwa watu wasiyo wana ndoa chuki inakuja maana anajihisi hatia maana shetani aliyewashawishi anakuwa amewaacha baada ya kufanikisha lengo lake la kuwashusha
Jamanitumewakosea nini vibonge



Yes my GM
The deed is done, move on. Ukweli ni kwamba;Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje