Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Sasa nani hapa kaongelea maswala ya kujua kuwa wanaume au wanawake wanajisikiaje wakifanya tendo la ndoa? Mimi nimeongelea tabia za wanaume wengi kitu ambacho kinaonekana na tabia ni kama ngozi haijifichi!

Kwahiyo ninaongelea mambo ninayoyaona kila siku kwa wanaume wengi kwenye jamii hayo mengine mimi sijayaongelea! Na hata hivyo kati ya yote niliyoyaongea kuhusu wanaume wengi kwani kuna ya uongo?
Kama wanaume wengi wapo hivyo basi hiyo ndio tabia ya wanaume ilivvyo so kupiga kwako kelele hapa jukwaani hakutoweza kubadilisha tabia ya wanaume na zaidi ya yote hata haufahamu unalopigia kelele
 
Ninalotaka kusema ni kuwa ukitaka kuheshimiwa, basi jiheshimu na husiwe daladala ambalo mlango wake unafunguliwa kila abiria anayetaka kuingia.
Kufuli ni muhimu kwa heshima yenu.
Kumbuka hao hao wanawake kabla hawajaanza kuwa madaladala walikuwa mabikira waliojitunza hadi pale walipokutana na wanaume washenzi wenye malengo ya kupiga na kusepa sasa wanawake wafanyeje??
 
Kama wanaume wengi wapo hivyo basi hiyo ndio tabia ya wanaume ilivvyo so kupiga kwako kelele hapa jukwaani hakutoweza kubadilisha tabia ya wanaume na zaidi ya yote hata haufahamu unalopigia kelele
Kwani kuna mtu yeyote humu anayeyafuata haya yanayoandikwa humu? Nadhani hilo ungewaambia wanaume wenzio wanaopiga kelele humu kutaka kubadilisha tabia za wanawake kitu ambacho hakiwezekani maana ni wanawake wengi sana wenye hizo tabia ambazo wanaume wengi wa humu wanazipigia kelele na zaidi ya yote hata hawafahamu wanayoyapigia kelele!
 
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje

Nyumba bora ni ile yenye choo, bafu na jiko safi kabisa.
Mfuate ukiwa kama nyumba bora na yenye mapambo.
 
Kuna wanawake ni nyumba bora zenye kila kitu ila bado wananyanyaswa na wanaachwa vile vile
 
Kuna issue itakuwa ilitokea kwenye game ila mleta mada hajafunguka vizuri tu.
Kama jamaa sio mpenzi wa Bagamoyo mlingotini na alimkuta mdada ana chale dozens na hirizi zinapumua, unafikiri atasimama mtu hapo.
 
Kumbuka hao hao wanawake kabla hawajaanza kuwa madaladala walikuwa mabikira waliojitunza hadi pale walipokutana na wanaume washenzi wenye malengo ya kupiga na kusepa sasa wanawake wafanyeje??

Kwani mtu akipakia gari mara moja then akaona huduma zake si nzuri, akaachana nalo, ni lazima kuendelea kulitumia wakati ameshaona huduma si nzuri?
Kabla ajatumia huduma alifikiri ni nzuri na ndiyo maana alijitahidi apate hiyo huduma, sasa kashapata, akaona haipo kwenye viwango alivyo hitaji.

NB:
Sina nia mbaya na wadada, ila inawapasa wajitambue na kujiheshimu. Inawapasa wajue wanaoonja onja, mara nyingi si wanunuzi. Hapo mtu anaonja akitegemea ni keki, kumbe ladha ni ugali uliolowekwa kwenye maji

Jitunzeni tu hata kama umekataliwa na fulani, yupo anayekuhitaji jinsi ulivyo
 
Sasa hivi akikubali mkutane kimwili jaribu kumuonjesha mtandao pendwa naamini hataondoka tena
 
Kwahiyo mnadhani wanawake watawajuaje wenye nia za dhati na waongo? Au wanakuwa na alama mwilini za kuwatofautisha? Maana kama ni kutongoza wote wanatongoza kwa mbinu zile zile! Cha msingi ni hivi hakuna jinsia inayotakiwa kuilaumu nyenzie dunia imeshaharibika tukubaliane tu na hali halisi yote haya mmeyataka wenyewe hasa wanaume!
Kwani mtu akipakia gari mara moja then akaona huduma zake si nzuri, akaachana nalo, ni lazima kuendelea kulitumia wakati ameshaona huduma si nzuri?
Kabla ajatumia huduma alifikiri ni nzuri na ndiyo maana alijitahidi apate hiyo huduma, sasa kashapata, akaona haipo kwenye viwango alivyo hitaji.

NB:
Sina nia mbaya na wadada, ila inawapasa wajitambue na kujiheshimu. Inawapasa wajue wanaoonja onja, mara nyingi si wanunuzi. Hapo mtu anaonja akitegemea ni keki, kumbe ladha ni ugali uliolowekwa kwenye maji

Jitunzeni tu hata kama umekataliwa na fulani, yupo anayekuhitaji jinsi ulivyo
 
Kuna issue itakuwa ilitokea kwenye game ila mleta mada hajafunguka vizuri tu.
Kama jamaa sio mpenzi wa Bagamoyo mlingotini na alimkuta mdada ana chale dozens na hirizi zinapumua, unafikiri atasimama mtu hapo.
Sasa basi msiwalaumu wanawake na msiwafundishe namna ya kujiweka
 
Mm ninachoona kwamba wote mlipeana,harafu kwanza haya mambo yakufanya kama ulimpa kaondoka nae sio poa,
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
 
Mungu alimkataza Adam kulala na Hawa?? Hebu nioneshe hilo andiko!!

Naomba usiniambie eti ni lile tunda ndiyo lilimaanisha tendo la ndoa!! Hahahaha yaani kwamba ninyi ndiyo mnajua sana kutafsiri maandiko siyo??
Naona umeamua kunisaidia kujibu kabisa swali lako. Mimi sina nyongeza sana ila uo ulioandika ndiyo ukweli. Tunda alilokatazwa Adam ni kumtifua Hawa. Ndiyo maana walipokaidi wakatifuana wakabaki hivyo hivyo na tupu zao hadi wakaona aibu Mungu alipowaita, ni kama walifumaniwa vile wakila tunda walilokatazwa.
 
Basi Pole

Hatudharau nguvu za kimaumbile za mwanaume ila tunafuata maandiko mkuu labda kama kuna andiko linawaruhusu wanaume kufanya uzinzi na uasherati basi niletee hapa vinginevyo hayo maneno mumuambie Mungu aliyewaumba hivyo ila akawakataza kufanya uzinzi na uasherati na siyo sisi tunaosisitiza tu
Nimekuelewa ila usisahau pia ya kuwa kwenye bible kuna wanaume wengi waliokuwa wameoa au kulala na wanawake wengi lakini bado wakawa watu mashuhuri wa kwenye biblia au kitabu cha neno la Mungu.
 
Kuna demu alikua gheto, baada ya kumla papuchi asubuhi nikaenda mishe ile narudi jioni nakuta vyombo vichafu hajapiga deki Wala Nini,, yaani ameamka tu na kusepa,,, toka sikuhyo hata simu yake sipokei,,, wanaume hatupendi wanawake wachafu bna
 
HESHIMA YAKO KWAKE ILIKUWEPO TU KABLA YA KUVULIA NGUO. MDADA UKISHA MVULIA MWANAUME NGUO, BASI DHAMANI YAKO IMEISHA.
Hii siyo kweli mkuu. Mbona hata sisi tunawavulia nguo dhamani zetu haziishi? Halafu mbona dhamani ya mke wangu haijaisha mpaka leo pamoja na kwamba mimi na yeye tunavuliana nguo kila siku?
 
Back
Top Bottom