Ambagai imefufuka..?? Bar ya zaman sn hyo. Tatizo la Mabibo bana, juzi nilitembelea nikawa naangalia mechi ya Barca na Real (EL CLASICO) ktk bar moja inaitwa IBUNGU. Jamaa, nadhan ndo DJ, kachukua microphone anaongea shit sn khs watu wasiokuw na vinywaj, tena kwa tone ya kibabe na sauti kubwa hatar.
" kma huna hela rudi kwenu ukalale, hapa tumekuja kutafuta hela. Watu DSTV tunalipia hapa. Hakuna kusema nilinunua kinywaji wkt wa mechi ya Chelsea, hii ni mechi mpya na kinywaji kipya. Kama vipi toka rudi kwenu..........."
Kwa style hyo Mabibo kuendelea ni ngumu sn. Nadhani ni kazi ya meneja na wahudumu wake kupitia kila meza na kuangalia vinywaji vipo au havipo.
Nway, hayo ni mawazo yng tu lakn.