Ambagai Bar Mabibo jeshini; karibuni sana upate supu nzuri

Ambagai Bar Mabibo jeshini; karibuni sana upate supu nzuri

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,910
Reaction score
2,712
Wadau wangu wa nguvu leo nimefungua jiko hapa Mabibo jeshini Ambagai bar Karibu sana mje mnipe kampani. Asubuhi ni supu ya utumbo wa mbuzi, supu ya nyama na mtori, mchana ni ugali nyama choma na chips, usiku in chips na kongoro na mchemsho wa kuku.

Karibuni sana watu wangu wa nguvu mnipe support mwana Jf mwenzenu
 
Sawa wakuu. Ukiwa mabibo mwisho nenda mbele kama unaenda Loyola High school hadi kituo cha basi kinachoitwa Mwembeni ambapo ni barabara ya tatu mkono wako wa kulia na ukiwa hapo muulizie mtu yeyote Ambagai Bar atakuonyesha. Ipo karibu kabisa na Barbara na kwa wale wenyeji zaidi ipo nyuma ya promise lounge na inatazamana na zahanati ya Mabibo
 
Ntakucheki mkuu nikuungishe...
Mi naishi mitaa ya Loyola hapa karibu na kwa Dkt John.
 
Wadau wangu wa nguvu leo nimefungua jiko hapa Mabibo jeshini Ambagai bar Karibu sana mje mnipe kampani. Asubuh ni supu ya utumbo wa mbuzi, supu ya nyama na mtori, mchana ni ugali nyama choma na chips, usiku in chips na kongoro na mchemsho wa kuku. Karibuni sana watu wangu wa nguvu mnipe support mwana Jf mwenzenu
ñtakuja mkuu,jiña lako linasouñd kama ukoo wa kwetu kule Sanya juu/siha.
 
Wadau wangu wa nguvu leo nimefungua jiko hapa Mabibo jeshini Ambagai bar Karibu sana mje mnipe kampani. Asubuh ni supu ya utumbo wa mbuzi, supu ya nyama na mtori, mchana ni ugali nyama choma na chips, usiku in chips na kongoro na mchemsho wa kuku. Karibuni sana watu wangu wa nguvu mnipe support mwana Jf mwenzenu
Ila meneja na counter wanaboa sana hapo halafu wanauza konyagi feki, nikija takushtua
 
Back
Top Bottom