Ambagai Bar Mabibo jeshini; karibuni sana upate supu nzuri

Ambagai Bar Mabibo jeshini; karibuni sana upate supu nzuri

Yaani usipouza chips huko dar naona hujaonekana kama mpishi.
 
amri moja wote twendeni tukamuungishe Mmary, mimi naenda kesho ntakua ktk muonekano huu. ntakua ndani ya shati jeupe lenye mistari midogo dogo mingi miekundu ya tshs13,000, jeans imepauka ya tandale tsh3,000 kiatu frank leon tshs150,000 from delhi, premio t906dfb. watu watano wakwanza ntakaokutana nao ntatoa ofa ya kuku choma 3 na ndiz 10 ntalipa 50% ya gharama ya chakula na wao watoe 50% iliyobak. wanao afiki waseme NDIOOOO wasio afiki waseme SIYOOOOO!
Kwa sasa naenda kuweka mazingira sawa ili wadau wangu wa kesho wasipate shida. Mmary toa namba ya cm nataka nikugongee nije, au yeyote aliopo hapo saa hiz anipigie anielekeze nije
 
Hayo maeneo nilitembea sana wakati fulani, nitakuja hapo mkuu kupata mchemsho.
 
Mm nakula ile kitu ya kuchoma apo iko poa sana!" Mkuu ugali choma ingekuwa fresh uweke jioni...wengine kufika uko ni jioni tu
 
Sawa wakuu. Ukiwa mabibo mwisho nenda mbele kama unaenda Loyola High school hadi kituo cha basi kinachoitwa Mwembeni ambapo ni barabara ya tatu mkono wako wa kulia na ukiwa hapo muulizie mtu yeyote Ambagai Bar atakuonyesha. Ipo karibu kabisa na Barbara na kwa wale wenyeji zaidi ipo nyuma ya promise lounge na inatazamana na zahanati ya Mabibo
Nimekusoma. Nitapita hapo soon.
 
Kama kuna videmu Demu na kuna dstv ntakuja kucheki game ya barca hapo kesho...!!
 
Back
Top Bottom