amri moja wote twendeni tukamuungishe Mmary, mimi naenda kesho ntakua ktk muonekano huu. ntakua ndani ya shati jeupe lenye mistari midogo dogo mingi miekundu ya tshs13,000, jeans imepauka ya tandale tsh3,000 kiatu frank leon tshs150,000 from delhi, premio t906dfb. watu watano wakwanza ntakaokutana nao ntatoa ofa ya kuku choma 3 na ndiz 10 ntalipa 50% ya gharama ya chakula na wao watoe 50% iliyobak. wanao afiki waseme NDIOOOO wasio afiki waseme SIYOOOOO!
Kwa sasa naenda kuweka mazingira sawa ili wadau wangu wa kesho wasipate shida. Mmary toa namba ya cm nataka nikugongee nije, au yeyote aliopo hapo saa hiz anipigie anielekeze nije