huyo ni mnafiki tu hana lolote, amesahau alichofanyiwa maalim seif wakati yeye anaingia madarakani? kuna wakati wazanzibar wameuawawa kama wakati anaingia madarakani? huyu anatonesha tu vidonda vya wahanga.Rais alikuwa Shein na ndio alikuwa na mamlaka. Wastaafu hawana nguvu ya kuingilia utawala mwingine