Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Kuna posa imeletwa mdogo wangu,mshenga Glenn ana jambo lako kutoka Kwa IamBrianLeeSnr
Dada yangu kipenz huyu IamBrianLeeSnr ni rafik yangu na huwa tunataniana sana ila nimeshangaa iweje matani yetu ayalete mpaka kwa ndugu zangu ambao mim sisubutu kuwatania?
Anyway msamehe bure labda alikuona uko down akaniaaidia kukuchangamsha.❤️🤣
 
Mkuu umetuangusha wanaume, hukutakiwa kurudi nyuma kwani hapo nisawa na mtu alienunua malaya tu,

Demu akikuletea nyodo afu baada ya miaka kadhaa aanze kujileta baada ya kupata shida hutakiwi kujirudi, ni bora umsaidie kisha umpotezee tu
 
Miaka 10 ni mingi but do what makes you happy.
 
Kweli ulimpenda,vipi ulitumia condom isije ikawa ametumwa na shetani kuja kukumaliza
Huyo ameshatepeta yaani unafurahi kuku kubaiia baada ya miaka 10? Wajanja wameshachezea hana tena market ndiyo akaona akutunuku mbususu.Kwa hiyo hakuna cha kujisifia hapo.Pima kipimo kikubwa baada ya mwezi mmoja kupita.
 
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.

Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)

Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.

Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.

Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.

Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.

Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.

Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Yaani baada ya miaka 10 baadae mtu ashakuwa USED saana halafu unajisifia 😅😅😅😅
 
WKwa hiyo umeamua kuja kutuelezea jinsi ulivyofanywa kiteka uchumi na huyo Malaya wako? Pole Sana mambo Kama haya sio ya kujivunia hata kidogo
 
Dada yangu kipenz huyu IamBrianLeeSnr ni rafik yangu na huwa tunataniana sana ila nimeshangaa iweje matani yetu ayalete mpaka kwa ndugu zangu ambao mim sisubutu kuwatania?
Anyway msamehe bure labda alikuona uko down akaniaaidia kukuchangamsha.❤️🤣
Nilimaanisha kweli hata nikakuliza are you in a marriage? 🤷🏼‍♂️
 
Back
Top Bottom