Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Wewe ndiyo umelainishwa! Huyu maisha yake (hasa ya kimahusiano) hayajamwendea vyema. She is now above 30 and likely desperate....

Maana baada ya miaka 10 ya kukutreat kama mbwa...

Ghafla kaibuka from nowhere...akiwa na shida....

Nawe kwa uboya wako ukapeleka muamala mnono. Utu wako ni huo muamala ama? Bila huo muamala ungeweza kumpata au ungeendelea kutukanwa kama mbwa?

Kama umelala naye sababu ya huo muamala, itakuwa ni makosa kusema kuwa umeuziwa hiyo mbususu?

Na si ajabu umeuza mechi...huku, kama ulivyosema, una familia....

Ni nani aliyelainishwa hapo? Una tofauti gani na wanaonunua machangu barabarani?

A man without principles is like a ship without an anchor. Ni kusukwa sukwa tu na mawimbi huku na huko...na mwishowe hata kugoteshwa kwenye miamba au mangrove swamps.

View attachment 2627537

Sad!
Umemsagia sana.
 
Maisha mafupi haya bestie.
Fanya kitu roho yako inapenda bana!
Nimechagua kuwa na wewe kwakua roho na moyo wangu umezima kwako!😍😍😍

Nimependezwa na hali ya utulivu uliyonayo hata kupelekea kuweka wazi hisia za upendo nilionao juu yako, Nidhahiri bado hatuna ukaribu wowote ingawa nimekuwa nafatilia baadhi ya maudhui yako mbalimbali kwenye majukwaa tofauti, Lengo lilikua nifahamu aina gani ya maono uliyonayo pia uzuri wa moyo wako sana sana.

NAOMBA UNIPOKEE NA KUNISTIRI KWAKUWA NIMEWIWA NA UPENDO WAKWELI KWAKO Clepatina 🌹
FD61FC61-C6EB-444D-B93A-A952E2570E18.jpeg
 
Nimechagua kuwa na wewe kwakua roho na moyo wangu umezima kwako!😍😍😍

Nimependezwa na hali ya utulivu uliyonayo hata kupelekea kuweka wazi hisia za upendo nilionao juu yako, Nidhahiri bado hatuna ukaribu wowote ingawa nimekuwa nafatilia baadhi ya maudhui yako mbalimbali kwenye majukwaa tofauti, Lengo lilikua nifahamu aina gani ya maono uliyonayo pia uzuri wa moyo wako sana sana.

NAOMBA UNIPOKEE NA KUNISTIRI KWAKUWA NIMEWIWA NA UPENDO WAKWELI KWAKO Clepatina 🌹
View attachment 2627904

Click to expand...
Asante kwa maneno mazuri dear❤️😍.
You made me smile kujua kuna mtu ananithamini hapa JF.
Asante kwa upendo.😍
Hata mimi nimetokea kukupenda na kukuzoea kiasi cha kutoogopa hata kukutania.😍❤️.
Ningekua sijaolewa na Mgweno fulani hivi hlf unipe kiti cha kuwa mkeo ningekikalia bila kusita😍🤣.
Kwa sasa just know that your sister Clepatina loves you so much😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️🥰😍🤩
 
Asante kwa maneno mazuri dear❤️😍.
You made me smile kujua kuna mtu ananithamini hapa JF.
Asante kwa upendo.😍
Hata mimi nimetokea kukupenda na kukuzoea kiasi cha kutoogopa hata kukutania.😍❤️.
Ningekua sijaolewa na Mgweno fulani hivi hlf unipe kiti cha kuwa mkeo ningekikalia bila kusita😍🤣.
Kwa sasa just know that your sister Clepatina loves you so much😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️🥰😍🤩
Ouch those words broke my heart 🥀🥀

Acha niwe mtulivu tuu! Naamini ipo siku yangu na mimi nitabarikiwa kupata mwenye hekima, Uvumilivu na upendo wa kweli kama wewe ingawa itanichukua mdaa sana kuufungua moyo wangu tena🥀😢🥀

Am going to listen now all blues hyped song...
Live long dear sis🥰🥰🥰 your broh love you more than everyone 🥰🥰🥰
 
Dah Mapenzi haya kumamamakeziii
Demu kagongwa miaka zaidi ya 3 bado ww kipofu kwake.
Umezaliwa kuteseka pesa unayo na bado mapenzi yanakutesa
Au mi sijakuelewa vzr
 
Hongera chief. Hamna kitu sipendagi kama unfinished business with some pussy.
 
Isinge wezekana mkuu nilijua hatakuwa na ujasiri huo, ila nilikwepa kumtajia lodge kama option yakwanza, nilikwepa kutaja restaurant maana baada ya kutoka kwenye restaurant ingekuwa ngumu kumshawishi kwenda kutiana. Ni mambo ya cuba haya.
Nimecheka sana, mambo ya cuba daaah 🤣🤣🤣
 
Dah Mapenzi haya kumamamakeziii
Demu kagongwa miaka zaidi ya 3 bado ww kipofu kwake.
Umezaliwa kuteseka pesa unayo na bado mapenzi yanakutesa
Au mi sijakuelewa vzr
Ndiyo hivo ulivomwelewa, siwezi kuwa na pesa afu niitesekee kuuuma hata mara moja
 
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.

Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)

Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.

Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.

Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.

Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.

Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.

Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Hela yako amekurudishia au ndio imelipwa kwenye tunda
 
Back
Top Bottom