Akili kubwa Sanaa aiseeNingekua mimi day one akiomba pesa nampa.
Ametaka kuona tutaonana.
Baada ya hapo namfuta.
Akipiga namuuliza wewe nani?
Ajieleze weee
Niliwahi kumfanyia mdada mmoja mpaka Leo hii Hana hamu na mimi

Wanawake katili wa hisia dawa yao nzuri ni kuwavuta..Akili kubwa Sanaa aisee
Niliwahi kumfanyia mdada mmoja mpaka Leo hii Hana hamu na mimi
Ulitumia mpira?Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.
Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)
Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.
Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.
Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.
Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.
Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.
Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Nimemwagia ndani mkuu.

ndugu yangu kapimwe akili
naona haupo sawa kwa hiyo kumwagia ndani ndo nn kwa mfano

!kwa hiyo umepata faida gani kumwagia ndani kwa mfano!
Haya sasa peleka posa umuoe ili utimize ndoto yako ya kumfanya awe my wife wako!!Habari wakuu,

Kwa hiyo ulienda peku ?Acha vitisho
Njaa ni hatari sana!!!Acha kiburi basi,,,,kuwa na Moyo safi Kama wa Bei Elekezi ,,unapigwa chini miaka kadhaa Ila ukirudiwa ghafla unaamini unapendwa
Ila huyo dada ni mafia,kaombwa number insta katuma za mitandao miwili kabisaa ,![]()
Njaa hampendezi mtu.Njaa ni hatari sana!!!
Anakudanganya, PM yake ipo wazi mfuate atalainika tu huyo!Umenitosa..nitakubamba tu
Tuna huruma sana sisi!!!Hakunaga mwanaume anakataa tongozo wapo availabo siku 365 na robo ukimtaka![]()
Kama kanitosa hadharani PM nadhani nitakula za uso sanaAnakudanganya, PM yake ipo wazi mfuate atalainika tu huyo!
Beauty with brainDah umepigwa pakubwa Sana!ukiona miaka 10 umekataliwa ndio umekuja kukubaliwa ghafla yaani wewe ni last option kwenye Maisha yake,huyo ana mawili,
La kwanza kakwama kwa mtu anayempenda na bado hajapata mbadala wa kuziba pengo,
la pili kaamua kukuweka wewe Kama chanzo chake cha mapato.
Hizo ni mbwembwe tu, hakuna mkate mgumu mbele ya chaiKama kanitosa hadharani PM nadhani nitakula za uso sana
Alisikika MLEVi Mmoja !!!ongeza jibapa lingine bili yangu😁Beauty with brain
. mrembo umemaliza kila kitu
Kijana tafuta hela achana na mapenzi ukishapata hela mapenzi yatajileta yenyewe.Habari wakuu,