Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Bei Elekezi
Nimegundua mambo machache kwako:

1. Vijana wengi approach yenu mbovu....tengeneza mazingira na huhitaji nguvu nyingi kutongoza ujue

2. Huwezi day one sio sahihi sana kutongoza
3. Kuna wanawake ukionyesha uchu mkubwa umemkosa
..............................

4. Inasikitisha wanaume wengi hatujui thamani yetu...ke akikutaka yeye unapatikana 24/7/12
Huu ni ujinga mzito.

5. Nilivyo na dharau ningempa hiyo pesa kama ninavyosaidia yatima lkn simgusi kwa kutaka kwake hadi nimtake mimi.

6. Umeliwa kimasihara bro ooooh
Shimba ya Buyenze
Aisee kumbe na nyie mnaliwaga kimasihara
 
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.

Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)

Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.

Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.

Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.

Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.

Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.

Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Hivi ikulu ipo chamwino eeh? Au imehamishiwa Mpwayungu Village
 
Na ndo mana kuna uwezekano mkubwa meseji ya USIKU MWEMA ukaisoma ASUBUHI kwa Pozi za USIKU..
 
Umepiga na ndomu au kavu, kuwa muwazi nikuambie kitu kabla sijasahau
 
Kwa hiyo baada ya kuwa ame hakazwa huko na wewe ukamalizia ukoko na Bado unajisifu...
Wa hivyo unakutana naye lodge unamchezea tu then haumli, unamwambia "namheshimu sana mke wangu, siwezi kumsaliti" unaishia hapo n'a kusepa zako
 
Back
Top Bottom