Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Dah!

Hili la kupenda mikia na matukunyema litanitafuna hapa JF sijui mpaka lini.

Hata siku nikiRIP utasikia jamaa alikuwa anapenda mikia dah sasa kaiacha! 😁😁😁

Itabidi nianze kampeni ya kujisafisha na kuji-brand upya!
Fungua uzi ufute hii harufu mkuu, tangaza msimamo upya.

Mimi huwa nasema kigezo namba moja ke awe na akili njema...hii inaweza kuangukia popote...so nimeficho codes zingine huwezi nisoma kirahisi😂😂
 
Maisha yashampiga huyo mkuu.
Kwa sasa anadanga na wewe kakuuzia kama anavyowauzia madanga wengine.
Tulia na mkeo huyo sio yule umjuaye tena mkuu
 
Best student from Simping University. Na kwa hiyo tabia yako huchelewi kumuacha mkeo kwa karanga za kuonjeshwa.
 
Wew
Fungua uzi ufute hii harufu mkuu, tangaza msimamo upya.

Mimi huwa nasema kigezo namba moja ke awe na akili njema...hii inaweza kuangukia popote...so nimeficho codes zingine huwezi nisoma kirahisi😂😂
Wewe ni jambazi sugu....weka code zako watu turushe karata zetu🥴🥴🥴🥴
 
Back
Top Bottom