Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Muamala mnono? Nataka kujua kajirahisisha kwako kwa sh ngapi? Usikute laki mbili?
Sijasema laki mbili ni kidogo nina sababu zangu nyingine kichwa.
Nawaza tu ndio wanawake asilimia kubwa tunapenda mwanaume mwenye uwezo hilo sio siri ila kuwepo na la zaidi linalo kuvutia kuwa na mwanaume flani kwenye mahusiano.

Bonafsi siwezagi kuwa na mwanaume kisa kanisaidia ikitokea ingawa haijawahi tokea lazima huyo mwanaume tofauti na pesa zake awe na vile vigezo mimi ninavyovitaka.

Wanawake inabidi tubadilike mleta mada inaonekana kabisa sio kwamba alimkataa kisa hana hela, no kuna kitu ambacho hakuvutiwa kutoka kwake ila kwa sababu sasa hivi ana shida kajizima data kajirahisisha.
Kamwe mwanamke usiombe msaada kwa mwanaume ambae unajua tofauti na pesa zake huvutiwi nae. Coz unapochukua pesa zake anajua una mpenda wakati humpendi, hapo ni kupoteza muda.

Yaan tofauti na pesa zenu kuna vitu tunavutiwa kutoka kwenye pesa inakuja baadae kusafisha njia.

Shida au kuachwa kusikufanye kuwa sehemu ambako moyo haupo.

Mfano kuna mwanaume ananipenda ana everything a woman needs, ila moyoni kwangu hayupo kabisa. Jana alikuwa ananiuliza birthday yangu ni lini? Nikamwambia imepita ilikuwa juzi tu trh 10 akaanza kulalamika oh kwa nini sikumwambia? Sikumwambia coz nilijua angefanya surprise kubwa sana mbwembwe zingekuwa nyingi wakati siko tiyari kuwa nae. Namuheshimu tu siwezi ruhusu meeting nae pole pole ataacha mwenyewe kunitafuta.

Wadada ndio tuna shida ila shida ndogo ndodo zisikufanye uwe cheap, sasa mtu ulishamtolea maneno unaanzaje kujizima data na kulala nae siku hiyo hiyo?

Shida ndogo ndogo si tunakopaga kwenye vikoba vyetu? Sijapenda coz alijukataa wakati uko single sasa hivi anajisogeza awe mchepuko dah.
Umeandika kwa uchungu Sana Lucky,huyo dada kaamua kuuza tamu yake Hana la zaidi.....Bahati nzuri kapata loyal customer
 
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.

Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)

Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.

Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.

Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.

Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.

Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.

Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Uko mkoa gani.
 
Mwamba nakusifu umeshapiga hiyo kenge yenye dharau, I hope ulichukua tahadhari ya kiafya. Sasaipige chini, lakini pia kama ni mzuri endelea kusukumia tuu mashine ila usiendelee kumpa hela coz huyo umenunua ila umerudisha heshima yako ya kianaume! Chukua maua yako bro.
 
Nisikilize na wengine watakaonisoma.
Mwanamke ambaye nitakuwa available kwake 24/7/12 ni yule nimemtongoza mimi, amenikubalia kiroho safi.
Moyo wake una mahaba kwangu.

Huyo hata akiniita ikinyesha au jua ninamwendea fasta.

Mwanamke anayenitaka yeye na sio mpenzi wangu kwa wakati wake hapana.
Siko cheap kiasi hicho.

Narudia.
Anayenipata anytime ni mpenzi wangu.
Sio vinginevyo.
Simba mzima wa afya hali mizoga bali huwinda....hiki ndicho kiburi changu

Kwa mwaume hii wala sio kuwa cheap, uanaume ukitaka kupige demu kwa namna yoyote iwe ni kwa pesa, zali au maombi haijalishi, mafanikio ni kupiga hiyo demu.
 
Hujiamini unaokoteza.
Hata simba huchagua mawindo
 
Hujiamini unaokoteza.
Hata simba huchagua mawindo

Hakuna hiyo, alishakwambia alimpenda sana from 10 yrs ago, so kampata kamtia thats what matters now. Women *** who they want, men *** who they can. So uwe na viwango au usiwe navyo ili mradi naweza kukutia nitatafuta tuu nikutie, viwango tunaset kwa ajili ya wake tunaooa sio hizi piga tembea.
 
Bei Elekezi
Nimegundua mambo machache kwako:

1. Vijana wengi approach yenu mbovu....tengeneza mazingira na huhitaji nguvu nyingi kutongoza ujue

2. Huwezi day one sio sahihi sana kutongoza
3. Kuna wanawake ukionyesha uchu mkubwa umemkosa
..............................

4. Inasikitisha wanaume wengi hatujui thamani yetu...ke akikutaka yeye unapatikana 24/7/12
Huu ni ujinga mzito.

5. Nilivyo na dharau ningempa hiyo pesa kama ninavyosaidia yatima lkn simgusi kwa kutaka kwake hadi nimtake mimi.

6. Umeliwa kimasihara bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shimba ya Buyenze
Lakini ukimgusa kwa kutaka wewe ni kitu kile kile.
 
Gharama za kumchakata ulitumia za Bei elekezi!? Ama za soko huria!?

Maana najuwa Kwa hasira za kunyimwa miaka mingi kukupea ile kitu inamesa menzake!? Hapa lazima uli-exeed maximum limit ya tunavyotoaga!
 
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.

Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)

Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.

Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.

Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.

Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.

Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.

Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Mvumilivu hula mbivu!
 
Vijana wengi approach yenu mbovu....tengeneza mazingira na huhitaji nguvu nyingi kutongoza ujue
Kaka umemaliza Kila kitu hapa!

Shida vijana wanatafuta demu wakiwa na ny3g3.

Binafsi hua sitafuti manzi hata siku moja, unakutana nae iwe kazini, kwenye mishe mishe au popote pale

Baada ya kukutana nae chukua mawasiliano yake kote kwenye mitandao ya kijamii msome vzr

Mwekee mikakati ya mda mrefu, Jenga urafiki kiakili sana

Baada ya miezi mitatu kama hujamla 😎basi subir miaka kumi kama mleta mada
 
Waache wateswe kwa kujiliza
 
Hii dunia ina wanaume wajinga aisee.

Miaka 10 yote hiyo, mtu hadi ile ladha si ishapotea kabisa.
 
Bei Elekezi
Nimegundua mambo machache kwako:

1. Vijana wengi approach yenu mbovu....tengeneza mazingira na huhitaji nguvu nyingi kutongoza ujue

2. Huwezi day one sio sahihi sana kutongoza
3. Kuna wanawake ukionyesha uchu mkubwa umemkosa
..............................

4. Inasikitisha wanaume wengi hatujui thamani yetu...ke akikutaka yeye unapatikana 24/7/12
Huu ni ujinga mzito.

5. Nilivyo na dharau ningempa hiyo pesa kama ninavyosaidia yatima lkn simgusi kwa kutaka kwake hadi nimtake mimi.

6. Umeliwa kimasihara bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shimba ya Buyenze
Yaani jamaa na kuhonga kote uko bado anapangwa.
 
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.

Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)

Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.

Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.

Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.

Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.

Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.

Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Hongera sana. Isiishie hapo endelea kumla tena bila malengo wala mpangilio hadi hasira ziishe
 
Back
Top Bottom