Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ungemfahamu huyu mrembo wala usingenikosoa.
Pili huoni ananipa ushirikiano?
Mdada yeyote mwenye Hilo jina lazima ni kisu halafu kichwani ni kipanga......Honga baba😃😃😃
 
Wewe ni failure unakula mbususu iliyozeeka ten years ago,watoto wabichi wapo acha udomo uzege
 
Dah!

Hili la kupenda mikia na matukunyema litanitafuna hapa JF sijui mpaka lini.

Hata siku nikiRIP utasikia jamaa alikuwa anapenda mikia dah sasa kaiacha! 😁😁😁

Itabidi nianze kampeni ya kujisafisha na kuji-brand upya!
Hiyo tayari ni brand yako uliyoijenga,tafadhali uitunze...tutakuenzi Kwa Hilo hata siku usipokuwepo......Le mikiaz
 
Wewe ndiyo umelainishwa! Huyu maisha yake (hasa ya kimahusiano) hayajamwendea vyema. She is now above 30 and likely desperate....

Maana baada ya miaka 10 ya kukutreat kama mbwa...

Ghafla kaibuka from nowhere...akiwa na shida....

Nawe kwa uboya wako ukapeleka muamala mnono. Utu wako ni huo muamala ama? Bila huo muamala ungeweza kumpata au ungeendelea kutukanwa kama mbwa?

Kama umelala naye sababu ya huo muamala, itakuwa ni makosa kusema kuwa umeuziwa hiyo mbususu?

Na si ajabu umeuza mechi...huku, kama ulivyosema, una familia....

Ni nani aliyelainishwa hapo? Una tofauti gani na wanaonunua machangu barabarani?

A man without principles is like a ship without an anchor. Ni kusukwa sukwa tu na mawimbi huku na huko...na mwishowe hata kugoteshwa kwenye miamba au mangrove swamps.

Sad!
Msukuma acha roho mbaya basi, khaaa😬
 
Bei Elekezi
Nimegundua mambo machache kwako:

1. Vijana wengi approach yenu mbovu....tengeneza mazingira na huhitaji nguvu nyingi kutongoza ujue

2. Huwezi day one sio sahihi sana kutongoza
3. Kuna wanawake ukionyesha uchu mkubwa umemkosa
..............................

4. Inasikitisha wanaume wengi hatujui thamani yetu...ke akikutaka yeye unapatikana 24/7/12
Huu ni ujinga mzito.

5. Nilivyo na dharau ningempa hiyo pesa kama ninavyosaidia yatima lkn simgusi kwa kutaka kwake hadi nimtake mimi.

6. Umeliwa kimasihara bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shimba ya Buyenze
Aiseeee
 
Nisikilize wewe nyau na ndege wengine.
Mimi ni mapepe mdomoni na utani mwingi tu.
Lakini m..boo yangu kuiona hovyo usitegemee.
Na niko kama mwewe au tai.
Nina shabaha zangu...nikikuona kwa mbali utanifaa nina hesabu ndefu nikikushukia kama mwewe huchomoi.

Narudia huchomoi, sioendi kutumia nguvu ya pesa wala maneno mengi ni hesabu.
Ukichomoa sirudi....natafuta chuma kikali kukuzidi🤣🤣🤣
Joannah
Mmhh
Haya sawa
 
Dah!

Hili la kupenda mikia na matukunyema litanitafuna hapa JF sijui mpaka lini.

Hata siku nikiRIP utasikia jamaa alikuwa anapenda mikia dah sasa kaiacha! 😁😁😁

Itabidi nianze kampeni ya kujisafisha na kuji-brand upya!
🤣🤣Kumbe msukuma ndo mambo yako, ndo nimekua Leo 🙌
 
🤣🤣Kumbe msukuma ndo mambo yako, ndo nimekua Leo 🙌
Siyo kweli Mtumishi.

Zamani huko nilikuwa nashabikia hayo mambo kiutani tu lakini ndo hivyo tena. Yaani sina zuri jingine hapa isipokuwa tu mikia.

Siku hizi napenda vipotabo vyenye umbo slimthick kama lako Mtumishi.

Usiniogope!
 
Siyo kweli Mtumishi.

Zamani huko nilikuwa nashabikia hayo mambo kiutani tu lakini ndo hivyo tena. Yaani sina zuri jingine isipokuwa tu mikia.

Siku hizi napenda vipotabo vyenye umbo slimthick kama lako Mtumishi.

Usiniogope!
🤣🤣🤣🙌Uwiii msukuma ,acha basi ,ww Tena na portable,Sina uhakika ,ngoja Glenn aje athibitishe hili

Haya tar 16/june Tanga,July Morogoro
 
Back
Top Bottom