Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Hiyo number 4,
Ndio maana wanasema men are cheap,ukimtaka una order tu Kama burger unampata muda unaotaka,ni maharage ya mbeya eti😁😁😁😁

Ni kweli kaliwa kimasihara huyu.
Mdada kalipa fadhila. Na ameona mgodi atakaoendelea kuchuma. Mwanaume kwa Mwanamke ni kama mbwa mbele ya chatu. Ngumu kukataa
 
Back
Top Bottom