Naunga mkono hojaaUpendo ni hisia ila kiini cha upendo ndio kita determine hisia hizo zitaisha lini. Kama kiini ni pesa basi tambua siku pesa zikiisha zitaondoka na ile hisia. Kama chanzo ni umaarufu basi tambua siku umaarufu wa mwanaume ukiisha ndio itakuwa mwisho wa hisia. Kama kiini cha upendo ni utu wa mtu basi jua hautakaa uishe unless utu wa mtu umebadilika.
Theres always a spark that ignites the affection between two souls. Grave mistake ndoa nyingi za sikuhizi upendo wake umeshikiliwa na ajira ya mume na pesa za michongo anazopiga ofisini. Ikitokea hela hizo zimekata basi penzi linakata na migogoro kuanza straight away.
Siku 3🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Week 1 kakuvumilia sana siku 3 tu lazma mabango yaanze 🤣
AsanteSanduku la Ndoa
Watu wengi hufunga ndoa wakiwa na imani potofu kwamba ndoa ni sanduku zuri lililojaa vitu vyote walivyotamani: urafiki, mpenzi, ukaribu n.k. Ukweli ni kwamba ndoa mwanzoni ni sanduku tupu. Lazima uweke kitu ndani kabla ya kutoa chochote nje. Hakuna mapenzi kwenye ndoa. Upendo upo ndani ya watu. Na watu huweka upendo katika ndoa. Hakuna mapenzi katika ndoa. Unapaswa kuiingiza kwenye ndoa yako. Wanandoa lazima wajifunze sanaa na kuunda mazoea ya kutoa, kupenda, kutumikia, kusifu kujaza sanduku. Ikiwa utatoa zaidi ya uliyoweka, sanduku litakuwa tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haipo huwezi kuwa bwege every time mkuu never🤣 Sasa utakuwa bwege kila wakati? Haiwezekani kabisa
Ni mdau namba moja, tatizo nilishakosea tangu mwanzo nimeshaingia kwenye mfumo wa kiboyaboya.Kuna dada humu ni mTanzania mwenzetu anaitwa Demi anaonekana ni mdau wa mkataba kwahiyo namsikilizia maana inaonekana tunaendana mawazo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Watakuwepo. Ukikutana nae labla hamjawa serious unamwambia. Akikataa achana nae
Nakazia😅😅Nime
kunukuu,
""Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu![]()
halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake""![]()
Mwanamke utamlisha miaka 10 ila yeye akikulisha wiki Moja anakutangaza.....
NB,
Mkuu 😊 ushaur wa Bure Kwa wanaume wenzangu ukipata muda kula vizuri kabisa kunywa vinywaji unavyo penda jitoe outing mwenyewe.
Siku nilipo gundua najibana nasaidia sana watu alafu pesa yangu inaliwa Bata ☺️😊
Kwanini niende mbali wakati we upo , nakuja PM tuyajenge mamaaWatakuwepo. Ukikutana nae labla hamjawa serious unamwambia. Akikataa achana nae
😅😅😅Hili nalo nenoNivizuri kutengeza mifumo imara ya kiuchumi kabla ya kujiingiza katika ndoa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wew jamaa😅😅😅😅🤣 Mungu sio mzungu
Why sikupati PMWatakuwepo. Ukikutana nae labla hamjawa serious unamwambia. Akikataa achana nae
Nipo pale, siku nitakaa nije kuamini hayo maneno labda Kristo amerudi. Yaani in any relationship upendo huisha unless uwe wa mama kwa mtoto ila na wenyewe sikuizi bado unaisha. Hakuna mwanamke atakayekupenda maishani mwake yote maana hisia ikishazoeleka huevaporate hata iwe inachagizwa na nini maana hata hicho kichagizo pia huzoeleka na mazoea kamwe hayazoeleki. Uliletwa duniani mwenyewe duniani basi utarudi mwenyewe hivyo hakuna upendo wa milele kati ya mke na mume ndio maana wastaafu wengi hupata shida sana baada ya kustaafu maana hawajazoea kujitosheleza maishani lazima mwenza awepo hivyo wanapoachana basi mmoja anaweza fariki.Upendo ni hisia ila kiini cha upendo ndio kita determine hisia hizo zitaisha lini. Kama kiini ni pesa basi tambua siku pesa zikiisha zitaondoka na ile hisia. Kama chanzo ni umaarufu basi tambua siku umaarufu wa mwanaume ukiisha ndio itakuwa mwisho wa hisia. Kama kiini cha upendo ni utu wa mtu basi jua hautakaa uishe unless utu wa mtu umebadilika.
Theres always a spark that ignites the affection between two souls. Grave mistake ndoa nyingi za sikuhizi upendo wake umeshikiliwa na ajira ya mume na pesa za michongo anazopiga ofisini. Ikitokea hela hizo zimekata basi penzi linakata na migogoro kuanza straight away.
Simple tu Amruhusu tu aende kwao... Uchawi ukimuisha kichwani.. ndo afanye maamuzi ya kurudi KWa mumewe au la...Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Huyo mwanamke ingekuwa mm ananitolea kauli kama hizo ningemrekodi ujinga wake nibaki na ushahidi alafu namfukuza usiku wa saa6 had8 kama mbwaaa akaoelewe anapotakaRafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Wanaachana kwa sababu gani labda? 😂 Ukishafahamu kuwa baba kuwa busy inampa relief mwanamke tofauti na kushinda nae ndani full day ndio utaelewa nachokisema.Nipo pale, siku nitakaa nije kuamini hayo maneno labda Kristo amerudi. Yaani in any relationship upendo huisha unless uwe wa mama kwa mtoto ila na wenyewe sikuizi bado unaisha. Hakuna mwanamke atakayekupenda maishani mwake yote maana hisia ikishazoeleka huevaporate hata iwe inachagizwa na nini maana hata hicho kichagizo pia huzoeleka na mazoea kamwe hayazoeleki. Uliletwa duniani mwenyewe duniani basi utarudi mwenyewe hivyo hakuna upendo wa milele kati ya mke na mume ndio maana wastaafu wengi hupata shida sana baada ya kustaafu maana hawajazoea kujitosheleza maishani lazima mwenza awepo hivyo wanapoachana basi mmoja anaweza fariki.
Boredom is inevitable maana hakuna kitu chenye mwanzo kisochokuwa na mwisho. Na baba hawezi kuwa busy miaka yote ya maisha yake utafika umri wa yeye kupumzika.Wanaachana kwa sababu gani labda? 😂 Ukishafahamu kuwa baba kuwa busy inampa relief mwanamke tofauti na kushinda nae ndani full day ndio utaelewa nachokisema.
Mahusiano wengi tunaya abuse wenyewe na ndio maana hisia zinakufaga. Ukisharuhusu boredom i kick in kwenye mapenzi yenu that means kuna mmoja ameanza kutegea.
Boredom is inevitable maana hakuna kitu chenye mwanzo kisochokuwa na mwisho. Na baba hawezi kuwa busy miaka yote ya maisha yake utafika umri wa yeye kupumzika.
The passion to do something does not always last, ndio maana kila kitu huwa na mwisho sembuse hisia boss😂😂. Mfano, hiyo too much expectation uliyoiweka ya kusparkle light into love everyday as you live inaweza kuja kuwa jambo litakaloua kabisa mahusiano na upendo wako. Everything has an end even those who invented love die sembuse the love itself. Kuishi kwa bahati sio sawa katika maisha hata kidogo. Let's live in the neutral area there.
🤣 Sawa sawa kila mtu aamini anachoaminiBoredom is inevitable maana hakuna kitu chenye mwanzo kisochokuwa na mwisho. Na baba hawezi kuwa busy miaka yote ya maisha yake utafika umri wa yeye kupumzika.
The passion to do something does not always last, ndio maana kila kitu huwa na mwisho sembuse hisia boss😂😂. Mfano, hiyo too much expectation uliyoiweka ya kusparkle light into love everyday as you live inaweza kuja kuwa jambo litakaloua kabisa mahusiano na upendo wako. Everything has an end even those who invented love die sembuse the love itself. Kuishi kwa bahati sio sawa katika maisha hata kidogo. Let's live in the neutral area there.
Ndo ukweliHiyo ndio hali halisi au tabia halisi ya huyo mke,kipato cha mumewe kilikua tu kinaificha hiyo tabia yake,
Mshukuru Mungu amekupa mtihani ili ugundue kua huyo sio mke,sikuombei mabaya ila siku ikitokea ukaugua na kushindwa hata kujitafutia riziki,huyo mwanamke atakunyanyasa sana au hata kukuacha ukiwa katika hali hiyo,
Huyo sio Mke,hakufai kabisa coz huo ndio ulikua mtihani wa kumtambua jinsi alivyo,achana nae mara moja kabla hayajakufika makubwa zaidi,na kitendo cha kukutangaza mpaka kwa ndugu zake nacho hakivumiliki,
Yangu ni hayo tu,the rest it's up to you.