Ama kweli ndoa ndoano

Ama kweli ndoa ndoano

Kenge maji ww hamna mtu anaomba kufilisika maisha kama bahari tu kuna mda inachafuka

Ni kweli bahari huwa inakupwa na kujaa .

Wao wanataka kila siku wale Kwa vitoweo (nyama na samaki ) na starehe ilihali wakati wakiishi kwa baba zao hali hali ya maisha ilikuwa duni kuliko walikoolewa.

Wanawake acheni maisha ya tamaa Na kujilinganisha maisha na watu wengine.

Kila mtu aishi maisha yake kwa kadiri anavyoliwa na kuyafurahia.

Acheni kuwafia jakamoyo wanaume zenu nao ni watoto wa watu.

Imagine Mwanaume anajitoa mhanga kwenda kutafuta kipato kwa jasho na hatari kwaajili ya mkewe kuliko hata mama yake mzazi wake alijinyima mwanae afike hapo alipo Fina?!
 
Maisha hayana formula, unaolewa na CEO wa kampuni kubwa sherehe million 100 ghafla jamaa anafanya blunder anatimuliwa anarudi level 0. Hapo limke linageuka mwiba.
 
Maisha hayana formula, unaolewa na CEO wa kampuni kubwa sherehe million 100 ghafla jamaa anafanya blunder anatimuliwa anarudi level 0. Hapo limke linageuka mwiba.
Sasa si niliolewa na CEO haya mambo ya kurudi 0 yanaanzia wapi tena ghafla hivyo😳
 
Mwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
Umeandika Kwa hisia sana mkuu
 
Kudumu watadumu ikiwa jamaa atakubali kuendelea kuwa dekio tu.
Ndio maisha yalivyo kwenye ndoa inabidi muende kama bembea mwingine akiwa juu mmoja anashuka, and vice versa is true. Sehemu nyingi ndoa zinakufa sababu mmoja hajui ni muda gani ajishushe yeye anajuaga kuwa juu tu Yani mafuta ya taa 😅😅
 
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,

Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.

Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Ni haramu kuwatendea wema mbwa wa kike
 
Mkuu baada ya hapo nikakomaa mahakama ya kazi!Miaka 8nikawa nauza maji ya bombani kwa wenyeji wa kitopeni,Mungu saidia nikashinda kesi na kulipwa!Alivyosikia!Kaja kama mwewe na mahaba kibao.Ila sisi wanaume sio wote,tusimcheke Samson wa kwenye bible.
Ulivyo boya ukampokea!!!!!
 
Ndio maisha yalivyo kwenye ndoa inabidi muende kama bembea mwingine akiwa juu mmoja anashuka, and vice versa is true. Sehemu nyingi ndoa zinakufa sababu mmoja hajui ni muda gani ajishushe yeye anajuaga kuwa juu tu Yani mafuta ya taa 😅😅
🤣 Sasa utakuwa bwege kila wakati? Haiwezekani kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom