Ama kweli ndoa ndoano

Ama kweli ndoa ndoano

Mwambia jamaa yako asifeli kwa kufanya yafuatayo
1 . Aache kujiona dhaifu ndo anachochea moto(hapa kuna nguvu anaitoa bila kufahamu)
2 . Hata kama hana pesa kwa sasa ATAMBUE YEYE NI KICHWA CHA FAMILIA apambane mwanamke yupo chini tu.
3 . Hawa wanawake baadhi [wapumbavu] ukionesha udhaifu kdg tu lazima washike usukani asiruhusu hicho kitu(rejea 1)
4 . Aanze kujinenea mema iwe dozi asubuhi mapema na kabla ya kulala awapo na utulivu wa akili.
5 . Asibague kazi kwa sasa na azidishe ubunifu ili amudu majukumu ya familia ambayo kwa sasa yawezekana mke wake ndo anawajibika.
6 . Akae kibusara azungumze na mkewe ikibidi hawausishe wazazi wao kwani hakuna kitu kibaya na kinachovunja moyo kama mke wako,mwandani wako kukupinga. Dah! inavunja moyo mno pale unapotarajia tulizo hupati jamaa apambane.
kwa sasa akianza na haya itamrudisha njiani...
Kabisa ni ushauri mzuri , nimependa zaidi uliposema asibague kazi wengi ndio wanafeli hapo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sanduku la Ndoa

Watu wengi hufunga ndoa wakiwa na imani potofu kwamba ndoa ni sanduku zuri lililojaa vitu vyote walivyotamani: urafiki, mpenzi, ukaribu n.k. Ukweli ni kwamba ndoa mwanzoni ni sanduku tupu. Lazima uweke kitu ndani kabla ya kutoa chochote nje. Hakuna mapenzi kwenye ndoa. Upendo upo ndani ya watu. Na watu huweka upendo katika ndoa. Hakuna mapenzi katika ndoa. Unapaswa kuiingiza kwenye ndoa yako. Wanandoa lazima wajifunze sanaa na kuunda mazoea ya kutoa, kupenda, kutumikia, kusifu kujaza sanduku. Ikiwa utatoa zaidi ya uliyoweka, sanduku litakuwa tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomeka Mkuuu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nikiwaambiaga "Tafuteni hela achaneni na ndoa"" utawasikia ""Ndoa muhimu, umezaliwa na singo Maza wewe"". Ngoja tu yawakute hawa ""raia wabishi sanaa""

#YNWA
Nivizuri kutengeza mifumo imara ya kiuchumi kabla ya kujiingiza katika ndoa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Shika, kamata na ujue, upendo ni hisia. Huyeyuka wakati wowote ule, sikwamwanaume wala mwanamke. Wanachokosea wenzetu ni kutokuwa na empathy au hekima mwenzao akienda kamba huku wakiwa wote wanavumiliana. Kilicho bora, kuishi kama tulivyoagizwa na mtume Paulo ni vyema sana, ngono ukikosa hufi na mke sio lango la uzima wa mafanikio.
Unajua kuna Machangu wapo kwa ajili hiyo
 
Sanduku la Ndoa

Watu wengi hufunga ndoa wakiwa na imani potofu kwamba ndoa ni sanduku zuri lililojaa vitu vyote walivyotamani: urafiki, mpenzi, ukaribu n.k. Ukweli ni kwamba ndoa mwanzoni ni sanduku tupu. Lazima uweke kitu ndani kabla ya kutoa chochote nje. Hakuna mapenzi kwenye ndoa. Upendo upo ndani ya watu. Na watu huweka upendo katika ndoa. Hakuna mapenzi katika ndoa. Unapaswa kuiingiza kwenye ndoa yako. Wanandoa lazima wajifunze sanaa na kuunda mazoea ya kutoa, kupenda, kutumikia, kusifu kujaza sanduku. Ikiwa utatoa zaidi ya uliyoweka, sanduku litakuwa tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hekima hii
 
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,

Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.

Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Nipe namba ya shemeji yako, ili nimkanye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom