Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
- Thread starter
- #201
Katika yote hapa nakupa asilimia elfu mojaUpendo ni hisia ila kiini cha upendo ndio kita determine hisia hizo zitaisha lini. Kama kiini ni pesa basi tambua siku pesa zikiisha zitaondoka na ile hisia. Kama chanzo ni umaarufu basi tambua siku umaarufu wa mwanaume ukiisha ndio itakuwa mwisho wa hisia. Kama kiini cha upendo ni utu wa mtu basi jua hautakaa uishe unless utu wa mtu umebadilika.
Theres always a spark that ignites the affection between two souls. Grave mistake ndoa nyingi za sikuhizi upendo wake umeshikiliwa na ajira ya mume na pesa za michongo anazopiga ofisini. Ikitokea hela hizo zimekata basi penzi linakata na migogoro kuanza straight away.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

"CHAKANDO"