Ama kweli ndoa ndoano

Ama kweli ndoa ndoano

Hiyo ndio hali halisi au tabia halisi ya huyo mke,kipato cha mumewe kilikua tu kinaificha hiyo tabia yake,

Mshukuru Mungu amekupa mtihani ili ugundue kua huyo sio mke,sikuombei mabaya ila siku ikitokea ukaugua na kushindwa hata kujitafutia riziki,huyo mwanamke atakunyanyasa sana au hata kukuacha ukiwa katika hali hiyo,

Huyo sio Mke,hakufai kabisa coz huo ndio ulikua mtihani wa kumtambua jinsi alivyo,achana nae mara moja kabla hayajakufika makubwa zaidi,na kitendo cha kukutangaza mpaka kwa ndugu zake nacho hakivumiliki,

Yangu ni hayo tu,the rest it's up to you.
 
Mwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
Wanasema kosa pesa ujue tabia ya mkeo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kukikosekana hela mzee hata kama anakupenda vipi, uvumilivu utamshinda!
Big noo , jamaa yako hajakosa hela , amepungukiwa tuu Kwa kiwango ambacho huyo slayqeen wake kinamtoa kwenye mudi, mwanamke akikupenda acha kabisa , atakutia moyo Sana na atafanya kila liwezalo uinuke...na kabla ya kuoa wanaume wote huwa tunapitia kwenye uamuz wa makundi hayo mawili , demu unayemfukuzia na demu anayekupenda , mara nyingi huwa tunaangukia Kwa demu unayemfukuzia na kumtosa anayekupenda , shughuli huanza ukiishiwa mtaji
 
Huyo jamaa mshauri ambembeleze huyo Malaya wake ( mke?)apoe kidogo. Akisha poa amfanyie timing amtundike mimba, hapo mchezo kwisha. Jamaa atapendwa mno. Hii ni kwa sababu wanawake wengi hawapendi kuonekana Wana mimba isiyojulikana baba wa mtoto .
 
Kuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeria
Number one give her money....
Number 2 just give her money....
Number 3 find money and give her money...
Number 4 give her money....
Number five if u don have money borrow money and give her money....
Natamani nipate wa design yako nimnyooshe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mwambie jamaa yako aachane na maneno ya huyo mke wake aangalie matendo zaidi, wanawake ndivyo walivyo, akiona matendo ya mkewe hayaridhishi aangalie namna nzuri ya kisaikolojia ya kumuweka sawa na akishindwa kabisa amfanyie mkewe figisu mpaka hahakikishe kaachishwa kazi .

Nb.Mwanamke anaye omba hela za matumizi kwa mwanaume ni bora zaidi kuliko mwanamke anayejiweza kiuchumi
Hiyo ni nyundo kwenye msumali umegusa sehemu sahihi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa mshauri ambembeleze huyo Malaya wake ( mke?)apoe kidogo. Akisha poa amfanyie timing amtundike mimba, hapo mchezo kwisha. Jamaa atapendwa mno. Hii ni kwa sababu wanawake wengi hawapendi kuonekana Wana mimba isiyojulikana baba wa mtoto .
C I A mindset

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom