Pole yake,sio kwamba alikosea kuoa ila asilimia 95 ya wanawake ukishakwama kwenye uchumi au akikuzidi kipato cha moto utakiona,though wapo wengine wanaojielewa sana...Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu [emoji3][emoji3][emoji3] halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Kama tabia zao ndio hizo , hatuna budi bali ni kuzikabili iwe hamasa kwetu kwenye utafutajiPole yake,sio kwamba alikosea kuoa ila asilimia 95 ya wanawake ukishakwama kwenye uchumi au akikuzidi kipato cha moto utakiona,though wapo wengine wanaojielewa sana...
Mwanamke anayekupenda anafocus kwenye solution zaidi kuliko kufanya blame game.[emoji3][emoji3] inaonekana una experience ya Hali ya juu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
🤣 Hii mbinu ya kijasusi ni ya kikatili na nzuri kwa upande mwengine. Kumpooza makali akiachishwa kazi lazma watakaa meza ya maridhiano.Mwambie jamaa yako aachane na maneno ya huyo mke wake aangalie matendo zaidi, wanawake ndivyo walivyo, akiona matendo ya mkewe hayaridhishi aangalie namna nzuri ya kisaikolojia ya kumuweka sawa na akishindwa kabisa amfanyie mkewe figisu mpaka hahakikishe kaachishwa kazi .
Nb.Mwanamke anaye omba hela za matumizi kwa mwanaume ni bora zaidi kuliko mwanamke anayejiweza kiuchumi
Hawezi kukupenda bila sababu , na kila mtu anasababu zake kama ambavyo pesa ni sababu mojawapo , kikubwa tujue mbinu za kuishinaoMwanamke anayekupenda anafocus kwenye solution zaidi kuliko kufanya blame game.
Kudumu watadumu ikiwa jamaa atakubali kuendelea kuwa dekio tu.Pamoja na hayo utashangaa wanadumu milele
Hawezi kukupenda bila sababu , na kila mtu anasababu zake kama ambavyo pesa ni sababu mojawapo , kikubwa tujue mbinu za kuishinao
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile
Tuhitimishe kwa kusema kupanga ni kuchaguaHayo mawazo ni finyu sababu kuna mwanamke wa kila mtu mzee. Ukipenda madanga unapata, ukipenda independent women wapo, ukipenda corporate women wapo. Inategemea wewe unaji position vipi.
Uamuzi ni wako sasa. Kama mhanga aliamua kuoa danga yeye apambane.
🤣 Sasa jamaa anaendeleaje huko alipo sasaKuna ndugu yangu alioa muhindi yule mmama R.I.P alikua very humble to the earth..
Yule mama alikua na elimu ya juu ya hotel management so alikua anasimamia hotel Moja kubwa katika jiji Moja mashuhuri..
Ndugu yetu alikua anamsumbua sana kula sana mtaji mavituko mengi kedekede lakini yule mmama alikua anaupendo wa dhati Kwa ndugu yetu.....
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Week 1 kakuvumilia sana siku 3 tu lazma mabango yaanze 🤣Nime
kunukuu,
""Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake""
Mwanamke utamlisha miaka 10 ila yeye akikulisha wiki Moja anakutangaza.....
NB,
Mkuu 😊 ushaur wa Bure Kwa wanaume wenzangu ukipata muda kula vizuri kabisa kunywa vinywaji unavyo penda jitoe outing mwenyewe.
Siku nilipo gundua najibana nasaidia sana watu alafu pesa yangu inaliwa Bata ☺️😊
Upendo ni hisia ila kiini cha upendo ndio kita determine hisia hizo zitaisha lini. Kama kiini ni pesa basi tambua siku pesa zikiisha zitaondoka na ile hisia. Kama chanzo ni umaarufu basi tambua siku umaarufu wa mwanaume ukiisha ndio itakuwa mwisho wa hisia. Kama kiini cha upendo ni utu wa mtu basi jua hautakaa uishe unless utu wa mtu umebadilika.Shika, kamata na ujue, upendo ni hisia. Huyeyuka wakati wowote ule, sikwamwanaume wala mwanamke. Wanachokosea wenzetu ni kutokuwa na empathy au hekima mwenzao akienda kamba huku wakiwa wote wanavumiliana. Kilicho bora, kuishi kama tulivyoagizwa na mtume Paulo ni vyema sana, ngono ukikosa hufi na mke sio lango la uzima wa mafanikio.
Ndio ufunguo aliotumia kuingia kwenye moyo wa mkewe. Atafte hela hamna namna ingine.Kuwa mwanamke ni ngumu sana sjui kwann tuliekewa hiki kitabia chakupenda pesa. Hakuna mwanamke asopenda pesa ya kupewa ni vile tunazidiana utashi wa kudhibiti tamaa zetu.
Huyo dada bila shaka alirogwa na ukwasi wa mshkaji akakubali kuolewa Sasa sahvi mapesa yameondoka na yeye upendo umetoka. Rafiki ako atafute Hela tu hakunaga upendo bila pesa bhana
Nadhani tuanze kuwaelimiaha watu kwamba ndoa ikikushinda sio lazima ung'ang'anie, unaweza kuiacha kwa amani.Inatakiwa tunaojielewa tufanye combination au vepe
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sawa Sawa Madam umesomeka , nahitaji muongozo kutoka kwako nitawezaje kumpata mtu mwenye kujielewa kama wewe ?Nadhani tuanze kuwaelimiaha watu kwamba ndoa ikikushinda sio lazima ung'ang'anie, unaweza kuiacha kwa amani.
Halafu labda ndoa za mkataba kwa dunia ya sasa ndo zinazofaa, tuachane na mambo ya kizamani.
Natafuta mtu wakuingia naye mkatabaNadhani tuanze kuwaelimiaha watu kwamba ndoa ikikushinda sio lazima ung'ang'anie, unaweza kuiacha kwa amani.
Halafu labda ndoa za mkataba kwa dunia ya sasa ndo zinazofaa, tuachane na mambo ya kizamani.
Wa mkataba wapo kweli TZ..?
Kuna dada humu ni mTanzania mwenzetu anaitwa Demi anaonekana ni mdau wa mkataba kwahiyo namsikilizia maana inaonekana tunaendana mawazoWa mkataba wapo kweli TZ..?
Wanaficha kucha wakifukuzia ndoaHio ndio Tabia halisi ya mke wake, inatakiwa muelewe neno uchumba ni maisha feki ndoa ni Maisha halisi.
Oa yeyeto umpendae ukimpatia utamshukuru Mungu ukikosea utakuwa mshauri wa ndoa