Ama kweli ndoa ndoano

Ama kweli ndoa ndoano

Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,

Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.

Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Kila siku tunaimba hapa JF #KATAANDOA
Acha avune alichokimbilia.
#KATAANDOA #NDOA_NI_KWA-WANAWAKE-NA WANAUME-WAJINGA
 
IMG_9275.png
 
Na kumtandika makofi anasubiri nini.

Kuna wanawake bila kuwazabua akili haiwakai sawa.
Kwnye ndoa kuna mambo matatu lazima ujue:-

1.Kuna kuoa
2.Kuna kuolewa
3.Kuna kuoana

Sasa jamaa etu apo yeye kaolewa....
 
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,

Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.

Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Kila mtu anqpewa wa kufanana nae, rafiki yako alipewa wa kufanana nae, na kama sio wa kufanana nae basi alikurupuka kwenye suala zima la kuoa hakufanya uchaguzi sahihi, labda alivutiwa na mwonekano wa nje bila kuchunguza mwonekano na utu wa ndani
 
Tupe uzoefu wako ktk hili wewe ultumia njia gani kujiridhisha kwamba uliyenaye ni mtu sahihi , maana wengi wanacheza kamali kubahatisha

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,

Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.

Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Tunapokuwa tunawaambia mwanamke usimuoneshee hela ili akukubali haya huwa ndio matokeo yake. Tafteni wanawake wanaowapenda mkiwa hamna kitu ili hata mkifanikiwa pamoja kunakuwa na element ya upendo.

Wanawake matapeli hawapendagi wanaume wasio na kitu. Ukiwa na hela utapapatikiwa kama mfalme siku zikikata ndio utaona rangi zake halisi. Mwanamke akiwa anakupenda hata ukifulia hawezi kubali udhalilike.
 
Kila mtu anqpewa wa kufanana nae, rafiki yako alipewa wa kufanana nae, na kama sio wa kufanana nae basi alikurupuka kwenye suala zima la kuoa hakufanya uchaguzi sahihi, labda alivutiwa na mwonekano wa nje bila kuchunguza mwonekano na utu wa ndani
Utu ndio kila kitu, tushaongea sana sasa wacha waendelee kuoa matako huku wakidhani maisha huwa ni kitonga milele daima.🤣 Oh siwezi kuoa mwanamke wa kawaida bora nioe mzuri tutarekebishana.
 
Mkuu baada ya hapo nikakomaa mahakama ya kazi!Miaka 8nikawa nauza maji ya bombani kwa wenyeji wa kitopeni,Mungu saidia nikashinda kesi na kulipwa!Alivyosikia!Kaja kama mwewe na mahaba kibao.Ila sisi wanaume sio wote,tusimcheke Samson wa kwenye bible.
Heeeeh ulimrudia tena.?...🙆🙆🙆🤦🤦
 
Kuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeria
Number one give her money....
Number 2 just give her money....
Number 3 find money and give her money...
Number 4 give her money....
Number five if u don have money borrow money and give her money....
Haya ndio tulikuwa tunabishana asubuhi.
 
Big noo , jamaa yako hajakosa hela , amepungukiwa tuu Kwa kiwango ambacho huyo slayqeen wake kinamtoa kwenye mudi, mwanamke akikupenda acha kabisa , atakutia moyo Sana na atafanya kila liwezalo uinuke...na kabla ya kuoa wanaume wote huwa tunapitia kwenye uamuz wa makundi hayo mawili , demu unayemfukuzia na demu anayekupenda , mara nyingi huwa tunaangukia Kwa demu unayemfukuzia na kumtosa anayekupenda , shughuli huanza ukiishiwa mtaji
🤣 Eeh ukiishiwa mtaji ndio songombingo huwa haziishi 😀 hamna rangi utaacha kuiona. Utakuwa safe ukiwa na guarantee kuwa umeoa mwanamke ambaye anakuhitaji kwenye maisha yake kiukweli. Sio ambaye wewe ndio unatumia nguvu nyingi awepo kwenye maisha yako na wengi hili huwa tunalijua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom